Zanika
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,316
- 752
Kenya: Police killed, beat post-election protesters
Kama ni kweli hii report ya Amnesty International km inavyosema. Basi ni wazi kuwa kwa jirani hakuko vyema.
Najiuliza kuwa Bunge letu la Africa Mashariki na Wakuu wa Nchi zetu wana namna yoyote ile inayoweza kuokoa jahazi ili maafa haya yasiendelee na kurudisha Amani inayoharibika kila uchwao kwa wenzetu.
Shime wana Africa Masharikj tuwaombe wenzetu warudishe amani maisha yaendelee.