Wadau hamjamboni nyote?
Naamini Katiba ya Kenya imekiukwa uteuzi Naibu Rais
Nimeshangaa kuona mtu aliyewahi kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani na bunge la senate 2020 kisha kufukuzwa kwenye...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Jumatatu, Machi 31, 2025, kuwa Sikukuu ya Umma kwaajili ya kusherehekea Eid-ul-Fitr
Eid-ul-Fitr, inayomaanisha “Sikukuu ya Kuvunja Funga,”...
Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300...
Shirika la Ndege la Taifa, Kenya Airways, limevunja ukame wa faida wa miaka 11 kwa kutangaza faida ya Shilingi bilioni 5.4 kwa mwaka uliomalizika Desemba 31, 2024.
Hili ni ongezeko kubwa...
Askofu Willybard Lagho wa Kanisa katoliki jimbo la Malindi, Kenya ametoa waraka kwa makasisi wote wanaosimamia parokia za dayosisi hiyo, akiwaagiza wasiwape nafasi za pekee wanasiasa wakati wa...
Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi...
Rufiji Hydropower Project
The 2,100MW Rufiji hydropower project is being built on the Rufiji River in Stielger’s Gorge, Selous Game Reserve of Tanzania. With a gross output of 5,920GWh, the plant...
Mbunge wa Mumias Mashariki, Peter Salasya, alipigwa na kutimuliwa kutoka Uwanja wa Nyayo wakati wa mechi kati ya Kenya na Gabon baada ya kuzuka mzozo na mashabiki.
Mashabiki hao walidai kuwa...
Kenya's Foreign Affairs secretary Amina Mohamed. PHOTO | DIANA NGILA
By PATRICK LANG’AT
Posted Monday, October 3 2016 at 13:25
IN SUMMARY
The post became vacant after the expiry of term of...
Chanzo:
https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19
Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini...
Hello,
This thread is specifically to help Tanzanians who misunderstand English statements because it's been happening a lot recently. We will quote the statement and the response from the...
WAKENYA wanaendelea kutoa hisia zao kufuatia kauli tata za Mkuu wa Majeshi (CDF) Jenerali Charles Kahariri na Mkurugenzi wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS), Noordin Haji, kuwaonya raia dhidi ya...
Hustler aliahidi kuwainua ,(badala yake KAWABINUA Bodaboda na Mama Mboga (bottom-up) Baada tu ya Kuapa akaanza kulamba Asali na kusahau "hustler" wenzake. Sasa hivi wanaandamana wanaitwa WAHAINI
Aisee Kenya Ina Hali mbaya sana ,Deni lao ni Trilioni 200 (Ksh10T) vs Trilioni 100 za 🇹🇿 😂 😂 😂 😂 👇 👇
Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango...
Kenya Airways will launch two additional direct flights from Nairobi’s Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Cape Town in South Africa from November 20.
The carrier said the move follows...
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali...
Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya...
Siku chache baada ya Rais William Ruto kukataza kupiga marufuku michango ya wanasiasa kwenye nyumba za ibada viongozi wa chama cha Kenya Kwanza wakiongozwa na Farouk Kibet wamefanya harambee...
Kanisa la Anglikana la Kenya (ACK) limetangaza kuwa kuanzia sasa, hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kupanda madhabahuni kuhutubia waumini wakati wa ibada za Jumapili au matukio yanayohusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.