Are you facing the problem of low earnings in google adsense?don’t be sad because this problem many bloggers face.dont think that may be google don’t love you.today ihave come up with good and the...
Serikali ya Marekani imesema kuwa imesikitishwa na hatua ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ya kujiapisha Jumanne wiki hii.
Aidha katika hatua nyingine, Marekani imeituhumu...
Mwanaume wa miaka 60 ajiua kwa kunyanyapaliwa na nduguze baada ya kubainika kuwa ameambukizwa VVU.
Bwana Stephen Onchonga kutoka Kijiji cha Ikurucha alimwambia Mkewe kuwa atajiua kutokana na...
Serikali bado imegoma kivifungulia vituo vya runinga nchi humo ikiwa ni siku ya nne toka Mahakama Kuu iamuru vituo hivyo kufunguliwa.
Serikali inasema haijachukua uamuzi wa kuvifungulia kwa kuwa...
Hatimaye Serikali ya Kenya imevirejesha hewani vituo vya runinga vya NTV na KTN kwa wateja wa kulipia kupitia DSTV, GoTV na ZUKU baada ya kuzimwa kwa siku 7 kutokana na kurusha LIVE tukio la...
Washukiwa wanne wa magenge ya uhalifu wamepigwa risasi na kuuawa katika matukio mawili tofauti kwenye mitaa ya Umoja na Buruburu
Watuhumiwa watatu walipigwa risasi na kuuawa barabarani na polisi...
Vituo viwili vya televisheni vilivyokuwa vimefungiwa kwa siku saba na Serikali ya Kenya kuhusiana na kurusha matangazo ya kujiapisha kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga, vimeanza kurusha tena...
KENYA: Polisi wameshindwa kumfikisha Mahakamani kiongozi wa kundi la NRM, Miguna Miguna. Mahakama Kuu iliamuru afikishwe leo saa nane mchana kufuatia kukamatwa kwake siku ya Ijumaa
Mahakama...
Proven Bauer technology for building the foundation of Pinnacle Tower in use
17-01-2018
Nairobi, Kenya – Up until now, the 223 m high Carlton Centre in Johannesburg was deserving of the title of...
Maandamano makubwa yatarajiwa hii leo Nairobi kuishinikiza serikali kuvifungua vyombo vitatu vya habari nchini vilivyofungiwa kupeperusha matangazo kwa siku ya saba leo.
Maandamano haya...
Kenya, Tanzania agree to end trade dispute
Source: Xinhua 2018-02-02 19:19:45
NAIROBI, Feb. 2 (Xinhua) -- Kenya and its southern neighbor Tanzania have agreed to end their trade dispute, paving...
Mahakama Kuu nchini kenya imetengua maamuzi ya serikali kufungia vyombo vitatu vya habari kwa muda mpaka suala hilo litakaposikilizwa.
Source:BBC World news
The Kenyan government shutdown of...
Nina uhakika kabisa wanamlia timing tu na ni swala la muda kabla hamjasikia wamemtia nguvuni, hii itatokea Raila apende asipende, kama wamemkamata aliyemuapisha iweje aliyekula kiapo awe huru...
1.Raila Odinga
2.William Ruto
3.Uhuru Kenyatta
4.Mike Mbuvi Sonko
5.Ali hassan Joho
6.Sakaja
7.Babu Owino
8.Moses Kuria
9.Kimani Ichungwa
10.Mandago
That's my opinion... You can give your own views
UJENZI RASMI BOMBA LA MAFUTA KUANZA MEI
Na Veronica Simba – Dodoma
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Kampuni ya Total wamekubaliana kuharakisha hatua zote za awali katika Mradi...
Pack up and go!, Kenyatta tells journalists
By Citizen Reporter For Citizen Digital
[https://3dwnh01icn0h133s00sokwo1-wpengine] Updated on: 1723, February 2, 2018 (EAT)...
Moja kati ya sector zinazokuwa kwa kasi barani Africa ni fashion na entertainment. Pia nimoja ya sector inayo tengeneza multimillioners wengi Africa. Ma makeup artists wamejizolea sifa yakushiliki...
Kenya is among 23 countries in Africa that launched the Single African Air Transport Market (SAATM), a move expected to lower air transport costs in the continent by 25 per cent.
The open skies...
Mama mmojakatika kaunti ya kilifi nchini Kenya amejikuta kwenye matatizo na manesi wa hospitali moja baada ya kuwaeleza kuwa mtoto wake wa miaka miwili anapolia bila kunyamaza, humuonyesha uchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.