Eric Omondi bana.... uchizi huu au raha tu, yaani uchi kabisa

Daaa pesa inatafutwa vibaya Sana... Kama anaweza kujianika hivyo hata kufirw.... A kwaajili yakupata PESA au umaarufu kwake sikazi kubwa
 
Vipi nawe? Kwani kukuwa ndethe ni shida gani?
Huko Turkana si ndiko tunaskia watu bado wanatembea peku peku kila mahali, huku bunduki tu ndio wamejivalia?

Kha kuwa ndethe sio issue, lakini kuianika kwenye mitandao ya kijamii.
 

Eric Eric Eric! Anataka kufirwa nini? Mbona kuanika uchi wake kwa social media. Waturkana wengine wanatembea uchi ila si kwa kupenda bali, ni kwa umasikini wao au joto nyingi pengine. Lakini huyu zuzu ni tajiri mkubwa tu na anaweza nunulia Waturkana elfu moja nguo za kuvaa ila yeye mwenyewe anaamua kutuonyesha msambwanda.
 
giphy.gif
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom