Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,240
- 3,931
Wanabodi wasaalam,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nadhani kitu kilichokuwa kinasubiliwa kwa hamu kubwa, nadhani na mahakama zote za east afrika ni kuhusu huo mswaada uliowakilishwa na mwansheria mkuu wa Kenya.
Wengi waliusubilia kama kipimo cha bunge juu ya muhimili mwingine, na vilevile niseme huenda hata wabunge wa CCM walikuwa wanasubili kwa hamu ili ije kuwa ngao ya kuwatisha mahakimu pamoja na majaji ili kulinda maslahi ya kwao na chama chao.
Lakini kwa upande wangu nilichukulia kama kipimo cha walio wengi bungeni dhidi ya wachache. Na nilienda mbali nikijua kuwa, kwa kuwa juzi kati Rais Kenyata aliteua makamishina wapya wa mahakama kuu, nikajua wazi nimpango uliopangwa kabla.
Kwahiyo matarajio yangu nikajua utapita kwa wingi wa kura na kufanya ukawa mwisho wa zama za jaji ambaye hatakujakusahaulika kwenye historia hapa duniani, Mh Jaji Malaga.
Niliudhunika sana, kwamba sasa tunakwenda kuondoa nguvu za mahakama kwa kutumia wanasiasa waliojificha kwenye bunge. Mpaka ninavyoandika hii thread siamini kilichotokea Kenya.
Hakika sina budi kumsifu Spika wa bunge kwa kutumia kiti chake vizuri, na kujua madhara ya maamuzi yake kwa wananchi wa Kenya, amejali sana maisha ya wengine kuliko mwisho wake.
Sijui kwa spika wetu Ndugai atakuwa amejifunza nini, maana nikinukuu jinsi alivyoendesha mchakato wa wabunge wa east afrika nabaki kushikwa na butwaaa tu!!
Lakini Mungu yupo na upande wa wateswao ili aje adhihilike.
Sina mengi ila sijui nani atakuja kumsahau Spika wa bunge la Kenya kwa maamuzi yalioyotukuka.
Mungu amzidishie hekima na maarifa ili aweze kuliendesha bunge kwa maslahi ya wananchi.
Akhsanteni.