Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

"Wananchi hawakutuchagua ili tulalamike kama wao, tunapaswa kuona haya... Tuchukulie kwa uzito kifo cha Albert Ojwang," Seneta Cheruiyot aliwaambia maseneta ================= “The people did not...
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa...
2 Reactions
2 Replies
615 Views
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724)...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema: "Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata...
0 Reactions
1 Replies
287 Views
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station). Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi...
0 Reactions
7 Replies
625 Views
Albert alikamatwa akiwa nyumbani kwao na wazazi wake wakijiandaa kula chakula Ndani ya saa 24 baba yake akaletewa taarifa kuwa mwanae amekufa baada ya kujibamiza ukutani kwenye selo aliyokuwa...
2 Reactions
13 Replies
912 Views
Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
2 Reactions
6 Replies
445 Views
Abiria waliokuwa wakisafiri kwa usafiri wa umma (matatu) jijini Nairobi walikamatwa Jumatano jioni kwa tuhuma za kumzuia afisa wa polisi wa trafiki kumkamata mmoja wao. Tukio hilo lilitokea baada...
1 Reactions
7 Replies
623 Views
Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na...
1 Reactions
11 Replies
648 Views
Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu. “Mama aliniambia kwamba wakati...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wana jamvi Habari zenu.! Hivi ndugu zetu wa kenya wanamatatzo gani? Ukiachana na yule jamaa aliejiita mungu (YEHOVA WANYONYI) wa kenya magharibi alifariki 2021. sasa tena hukohuko kenya...
0 Reactions
14 Replies
861 Views
Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
0 Reactions
2 Replies
303 Views
Mbunge wa Kenya aliyeibua hisia kali baada ya kutisha kuwafurusha wageni wanaofanya biashara ndogo ndogo zinazofaa kufanywa na wazawa, leo ameitembelea Tanzania ambayo pia aliitaja kwenye matamko...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Pia lihakikisha Jeshi hilo linakuwa huru kufanya majukumu yake pasipo kuamrishwa na wanasiasa bali kwa mujibu wa sheria. Je, Tanzania haitamani tufike huku? Sitashangaa kusikia watu fulani...
1 Reactions
4 Replies
339 Views
Wakuu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Ijumaa tarehe 6 Juni 2025 kuwa sikukuu ya Eid-ul-Adha kupitia tangazo la gazeti la serikali lililotolewa Jumatano. “Taarifa...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…