Jaguar atembelea Tanzania hadi Dodoma na kula bata

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,385
Mbunge wa Kenya aliyeibua hisia kali baada ya kutisha kuwafurusha wageni wanaofanya biashara ndogo ndogo zinazofaa kufanywa na wazawa, leo ameitembelea Tanzania ambayo pia aliitaja kwenye matamko yake.
Mbunge huyo ambaye hufahamika kwa jina la utani kama 'Jaguar', ni msanii pia wa nyimbo.
Amehojiwa na shirika la utangazaji la BBC, ambapo alisema kusudi lake lilikua kuwafurusha wahamiaji haramu, na kwamba hana tatizo na Watanzania maana humo Tanzania kuna ndugu zake

Jaguar in Tanzania

A photo that Starehe MP Charges Njagua, better known as Jaguar, that he shared on Instagram during his visit to Dodoma, Tanzania, July 19, 2019. PHOTO | COURTESY

A member of Parliament who sparked a diplomatic row with Tanzania, after making allegedly xenophobic remarks, is now visiting the country.
In June, Charles Njagua, who is also known as Jaguar, was arrested after a video of him, calling on Tanzanian and Ugandan traders to leave the country, was widely shared on social media.

He was held in police custody for over a week and was released on July 6 after paying a $4,800 (£3,800) bail.
CHARGES
The Starehe legislator is facing charges of incitement to violence.
He told the BBC Dira radio programme that his comments were only targeting illegal traders.

"No country would allow people who do not have permits to do illegal business," he said.
ANGER
The comments angered some Tanzanian lawmakers who called on Kenyans to be kicked out of their country.
Tanzania's government also summoned Kenya's high commissioner to explain the comments.
Mr Njagua told the BBC that he "loves" Tanzania and has family in the country.
He posted a picture of himself in Tanzanian's capital, Dodoma.

wala hakuja Tanzania ila picha alizoweka alikuwa anataka tu kuona reactions za watu kwenye picha hizo alizopost instagram na baada ya kuandika moja yupo dar na nyingne akaandika yupo dodoma on the same house and clothes reaction aliyoipata sizani hata kama ataweza kusogea hata mpkanani mwa arusha
 
Inamuuma sana namna gani ataeleweka ndani ya jamii ya kistaarabu ya WATANZANIA.Aliyatamka yale maneno negligently kwa lengo la kupata political popularity na hakutarajia reaction kubwa kiasi hicho kutoka kwa jamii ya kikenya na kitanzania.

Alikuwa hajachunguza maslahi mapana ya kenya katika kuitegemea tanzania kwenye baadhi ya mambo na mahusiano ya asili baina ya wananchi wa nchi zote mbili. Lakini amefunguka lililo ndani ya moyo wake na yumkini lilipo kwenye mioyo ya wakenya wangi walioamua kukaa kimya na kutuchekea kijino pembe yeye na mbunge wa ISILII wanakopatikana wakenya wengi wenye asili ya somalia wamefungua moyo na midomo yao.

Sio rahisi kuturuisha kwenye nafasi ambayo tulikuwa tunamweshimu kabla hajatamka maneno hayo. Tunda likishaanguka mtini huwezi kulirudisha tena sehemu lilipotoka. Yale maneno sisi ni waamini wa maandiko matakatifu na tunajua kutafsiri hata kama hatukusoma sheria za kidunia hata mtoto mdogo anetumia ( PLAIN RULE) ama LITERA LEGIS jibu atalipata lilelile kuwa hapendi kuwaona watanzania wakifanya biashara na kufanikiwa nchini kenya
 
wala hakuja Tanzania ila picha alizoweka alikuwa anataka tu kuona reactions za watu kwenye picha hizo alizopost instagram na baada ya kuandika moja yupo dar na nyingne akaandika yupo dodoma on the same house and clothes reaction aliyoipata sizani hata kama ataweza kusogea hata mpkanani mwa arusha
Hehe nakubaliana na wewe mkuu. Hata ukiangalia kwa umakini ikiwa unaifahamu Nairobi vizuri utacheki hapo ni Westlands na pembeni kuna Safaricom house. WaTZ kuwachezea mind games rahisi aisee.
 
Eti kuwachezea waTz, au alieleta uzi ni mTz
Hehe nakubaliana na wewe mkuu. Hata ukiangalia kwa umakini ikiwa unaifahamu Nairobi vizuri utacheki hapo ni Westlands na pembeni kuna Safaricom house. WaTZ kuwachezea mind games rahisi aisee.
 
Huyu Jaguar ni mtu poa sana,mwakilishi shupavu na mwimbaji wa hali ya juu. Mungu akulinde ndugu yangu .
 
Huyu Jaguar ni mtu poa sana,mwakilishi shupavu na mwimbaji wa hali ya juu. Mungu akulinde ndugu yangu.
Jombaa, tuwe wakweli bana. Njagua ni mtu ovyo kupindukia, matamshi yake ya kichonganishi kando, kwenye uongozi ni zero! Kilichombeba ili akachaguliwa ni chama cha Jubilee tu na pia alivyolia baada ya kuchezewa rafu na aliyekuwa mbunge wa Starehe Maina Kamanda. Kwenye shughuli za 'nominations' za wagombea ubunge wa chama cha Jubilee. Jamaa anatuangusha sana kama vijana, mara sijui wapigane makonde na kinyangarika mwenzake Babu Owino wa ODM. Alafu ndio yeye huyu tena na chuki dhidi ya wageni. Umemsikia hata siku moja akiongea bungeni kuhusu masuala yanayohusu vijana wenzake? Watu wa eneo bunge la Starehe watajuta kutompigia kura Boniface Mwangi 'Boni Boni', mkenya halisi, kijana jasiri, kiongozi natural na mtu mwenye maono makubwa kwa nchi yetu tukufu ya Kenya. Watz nawaombeni wajameni, huyu lofa akitia mguu wake Tz, piteni na shingo!.
 
Haha haaa
Wewe jamaa hutaki ujinga kabisa.
 
Haha haaa
Wewe jamaa hutaki ujinga kabisa.
Boss, kuna mambo mengine ambayo hayahitaji mzaha. Matamshi ya huyu mbunge mpumbavu Njagua yalinikosti, kihali na kimali, sitafafanua zaidi ila wewe jua kwamba mapambano ndio yameanza. Hawa hawa alojaribu kuwachonganisha ndio atawapigia magoti uchaguzi ujao akiwaomba wasimage unga. Mungu atujaalie tuuone huo mwaka wa 2022. Mark my words.
 
😲😲😲Maneno ya huyu MTU au akaunti imehackiwa?

Back
Top Bottom