Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Video inayosambaa mitandaoni imeibua mjadala kuhusu huduma za afya na utu baada ya mwanamke mjamzito kuonekana akiwa katika maumivu makali kando ya barabara eneo la Kahawa Wendani, Kiambu County...
2 Reactions
2 Replies
91 Views
Rais William Ruto jana, Agosti 6, 2026, aliwakutana na maafisa wa usalama binafsi zaidi ya 5,000 State House, ambapo aliahidi kubadilisha matumizi ya majina “watchman” na “guard” na kuwatambua...
2 Reactions
4 Replies
120 Views
Based on what is happening at the moment as Dangote is trying to invest in East Africa and what followed after, Tanzania and Kenya natural rivals are embrolled into a competition to host the...
2 Reactions
33 Replies
711 Views
  • Featured
Serikali imependekeza mageuzi makubwa katika mfumo wa ufadhili wa elimu ya juu kwa kufuta mfumo wa sasa wa ufadhili wa masomo (scholarships na grants) na kuubadilisha na mfumo ambapo wanafunzi...
4 Reactions
5 Replies
588 Views
Huku Kenya ikielekea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wasiwasi kuhusu ongezeko la matamshi ya chuki na uchochezi wa kisiasa unaendelea kuongezeka, huku viongozi kadhaa wakikabiliwa na uchunguzi...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Aliyekuwa Diwani wa Chesikaki na mwanasiasa aliyekuwa ameonyesha nia ya kuwania kiti cha Ubunge wa Mt. Elgon mwaka 2027, Nathan Wasama Masai, ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Mfanyabiashara mmoja kutoka Uganda ameomba msaada wa mamlaka za Kenya kufuatia madai kwamba hajalipwa fedha za mahindi aliyosambaza nchini karibu miaka mitatu iliyopita, licha ya bidhaa hizo...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Familia za vijana kutoka Mathare na Huruma zimefika hadi Bungeni kudai majibu kuhusu wapendwa wao waliotoweka katika mazingira yasiyoeleweka. Juni 18, 2026: Joel Kariuki Mwai, mfanyabiashara na...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Wakazi wa Mathare wameandamana wakitaka haki na uchunguzi wa kina kufuatia kifo cha kijana Eric, ambaye familia yake inasema alijeruhiwa akiwa katika seli za polisi. Kulingana na taarifa iliyo...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Ndoto ya watoto wa Uasin Gishu kusoma Finland na Canada imegeuka kuwa kilio kwa wazazi waliolipa mamilioni ya fedha kupitia mpango wa masomo wa kaunti. Baadhi ya wanafunzi walifika Finland lakini...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Ukarabati unaoendelea kwenye Barabara ya Kasarani–Mwiki umeibua maoni tofauti kutoka kwa wakazi, huku wengi wakitaka serikali kuweka kipaumbele katika kutengeneza barabara yenyewe kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Mzozo wa kifedha unaohusisha First Assurance Investment Company Limited umegeuka kuwa kesi kubwa ya jinai baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kuwafungulia mashtaka Wakurugenzi Wakuu wa...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Hali ya barabara katika baadhi ya sehemu za Mathare North imeibua maswali kuhusu kasi ya utoaji wa huduma kwa wananchi, huku wakazi wakisema baadhi ya barabara zimekuwa katika hali mbaya kwa...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
MUST READ Misbehaving in Dar es Salaam: A Kenyan journalist’s experience in Tanzania Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania. A close friend has...
13 Reactions
17 Replies
3K Views
Mradi wa Kituo cha Mabasi cha Green Park, ambao hapo awali ulipigiwa debe kuwa ungebadilisha hali na kupunguza msongamano CBD, unadaiwa kusimamiwa na kuendeshwa na watu wenye uhusiano na viongozi...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Kenya imeibuka kuwa moja ya nchi zinazolengwa zaidi na wahalifu wa mtandaoni Afrika Mashariki, huku ongezeko la utumiaji wa huduma za kidijitali na pesa kupitia simu likiwaacha mamilioni ya...
1 Reactions
0 Replies
81 Views
Kenya imelipa takriban Shilingi bilioni 7.7 kama ada za kujitolea (commitment fees) kwa mikopo ya kigeni ambayo haikutumika kati ya mwaka wa fedha 2020/21 na 2024/25, kulingana na ripoti za...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, amesema tume haiwezi kuendesha uchaguzi katika mazingira yaliyojaa chuki, uchochezi, mgawanyiko na vurugu, huku akitoa wito...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Garissa Referral Hospital imekanusha madai yaliyosambaa kwenye video ya viral kwamba kukatika kwa umeme kuliacha wagonjwa wa ICU na vitengo vingine muhimu bila huduma ya umeme kwa sababu ya...
1 Reactions
2 Replies
231 Views
Mpango wa Vision 2060 umeendelea kuzua mjadala nchini baada ya Rais William Ruto kuuzungumzia wakati wa mkutano na wanahabari, akisema utakuwa dira ya maendeleo ya muda mrefu ya Kenya baada ya...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Back
Top Bottom