Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Kutokana na watu wa tabaka la kati nchini China kuendelea kuwa na mapato ya ziada wanavyoweza kutumia kwenye mambo ya burudani, utamaduni na utalii, wigo wa furaha yao unaendelea kupanuka kutoka...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Makundi ya kiraia nchini Kenya pamoja na ndugu wa wanaharakati wawili waliopotea nchini Uganda wametaka wale wanaowashikilia kuwaachia huru. Bon Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa nyara na vikosi...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa...
1 Reactions
4 Replies
271 Views
Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia...
2 Reactions
4 Replies
318 Views
Lango kuu lenye shughuli nyingi zaidi Afrika Mashariki, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, upo katikati ya kashfa ya kimataifa ya dawa za kulevya. Kitengo cha uchunguzi cha KTN...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi Kenya, Eliud Lagat, amepata pigo baada ya Jaji wa Mahakama Kuu, Chacha Mwita, kutupilia mbali pingamizi la awali alilowasilisha katika kesi...
1 Reactions
0 Replies
178 Views
Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana? Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa...
1 Reactions
4 Replies
323 Views
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7...
2 Reactions
3 Replies
491 Views
Polisi Nchini Kenya wameanza msako wa kuwatafuta Watuhumiwa watatu Wanaume kutoka kabila la Wamasai huko Nkareta, Kaunti ya Narok Kaskazini, kwa kosa la kumshambulia kwa fimbo Dada yao kisa...
1 Reactions
3 Replies
292 Views
Viongozi wakuu wa upinzani wameapa kusimama imara na kushikamana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wakiahidi kusimamisha mgombea mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto Wakiongozwa na...
2 Reactions
4 Replies
382 Views
Vijana wamemzomea na kumfukuza Mbunge wa Maragua, Mary Wamaua, katika hafla iliyofanyika Kenol, Kaunti ya Murang’a. Vijana hao walimtuhumu mbunge huyo kwa madai ya kupanga kutwaa uwanja wa mpira...
1 Reactions
1 Replies
201 Views
Ila waKenya mnabalaa sana :D :D :D ila kwa upande mwingine ni kweli maana ni pesa za wananchi kwahiyo wanahaki ya kutembea nalo kidogo ================ Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
281 Views
Wanafunzi wawili wa kike kutoka Shule ya Msingi ya Kenana, eneo la Njoro Kaunti ya Nakuru, wamekosa masomo kwa wiki moja wakidai kudhalilishwa na kuadhibiwa na mwalimu wa kike kwa kosa la kutovaa...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Chama cha Wanasheria nchini Kenya (LSK) kimemkosoa vikali Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, kwa kutoa kauli inayopingana na uamuzi wa Mahakama Kuu uliopiga marufuku polisi kuficha...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Hatimaye Madaktari nchini Kenya wamepata ushindi mkubwa baada ya serikali kuwalipa malimbikizo ya mwisho ya mishahara ya mwaka 2017–2024. Hatua hii inahitimisha mzozo wa miaka saba kati ya Chama...
3 Reactions
4 Replies
575 Views
In Nairobi’s Westlands district, 24-year-old Grace Wanjiku checks her Bitcoin wallet instead of M-Pesa. A trained economist without a formal job, she survives on freelance graphic design earnings...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa...
1 Reactions
2 Replies
422 Views
Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes...
1 Reactions
2 Replies
370 Views
Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…