Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wakuu, Watayarishi wa maudhui nchini Kenya wameingiza zaidi ya Ksh milioni 45.2 ndani ya mwaka mmoja pekee kupitia ushirikiano wao na chapa mbalimbali kwenye TikTok, jambo linaloonyesha kwa wazi...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Mchungaji wa Kanisa la Neno Evangelism Centre, Pastor James Nganga, amewakosoa vikali wanasiasa na kutangaza kuwa hatawaruhusu kuzungumza mbele ya waumini kanisani kwake. Akizungumza wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
A 4th-year Garissa University student has been arrested after 650 sticks of bhang were recovered from her wardrobe during a security operation. Image: Kenya Police
7 Reactions
66 Replies
769 Views
Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu. https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
2 Reactions
2 Replies
271 Views
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, viongozi wa dini wakimbia kupitia uzio baada ya polisi na wahuni kuvuruga ibada ya kanisani Othaya, Nyeri
0 Reactions
2 Replies
181 Views
Januari 22, 2026 Mahakama Kuu ilibatilisha uamuzi wa kuanzishwa kwa Ofisi na uteuzi wa washauri 21 wa Rais William Ruto, ikisema kuwa mchakato ulikuwa wa siri, bila kufuata Katiba. Uamuzi huo ni...
3 Reactions
4 Replies
310 Views
https://www.the-star.co.ke/counties/nairobi/2021-03-28-bus-rapid-transit-project-in-kasarani-area-takes-shape/ Bus Rapid Transit project in Kasarani area takes shape They are to operate...
6 Reactions
102 Replies
15K Views
https://www.citizen.digital/article/nyayo-stadium-shortcomings-cloud-nairobi-uniteds-caf-confederation-cup-match-n376141#google_vignette
0 Reactions
0 Replies
206 Views
So far, many Kenyans have taken part in a “tree-hugging” challenge as a form of activism.
0 Reactions
3 Replies
165 Views
Mwanasheria na mwanaharakati wa kisiasa anayezua mijadala, Miguna Miguna, ametangaza nia yake ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Tangazo lake linaongeza ushindani katika...
1 Reactions
2 Replies
334 Views
Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Polisi (IPOA) imeanza uchunguzi baada ya video ya CCTV ya dakika nane, inayoonyesha polisi wakiwashambulia vijana katika ukumbi wa pool table wa Nandi Hills, kusambaa...
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Katika kesi ya mauaji ya Shakahola, mmoja wa washukiwa wakuu, Enos Amanya maarufu kama Hallelujah, ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji na mazishi ya zaidi ya watu 191 mbele ya Mahakama...
2 Reactions
3 Replies
605 Views
Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka...
1 Reactions
7 Replies
424 Views
  • Redirect
Katika kesi ya mauaji ya Shakahola nchini Kenya, Enos Amanya maarufu kama “Hallelujah” ameachana na kukataa na akiri hatia ya mauaji 191 mbele ya Mahakama Kuu ya Mombasa. Amanya, mmoja wa...
0 Reactions
Replies
Views
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Afya imetangaza kusitisha utoaji wa vibali vya kazi kwa madaktari wa kigeni wenye vigezo sawa na madaktari wazawa ikisema vibali vitatolewa tu kwa madaktari...
0 Reactions
1 Replies
204 Views
MY TAKE Many of those uyoga buildings would have collapsed! Nairobi has 200 unsafe buildings
10 Reactions
72 Replies
7K Views
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva. Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote...
12 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom