Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Hiyo ndio taarifa kutoka nchi jirani ya Kenya kwamba jana kulikuwa na jaribio la kupindua Serikali Waziri wa mambo ya ndani mh Murkomeni amesema wanasiasa waliofadhili Uhaini huo wanasakwa...
0 Reactions
8 Replies
431 Views
Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=49v7v-yUWdY
1 Reactions
9 Replies
414 Views
Update At least 16 people have been killed in nationwide rallies against police brutality and government corruption in Kenya, according to Amnesty International and the Kenya National Commission...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
https://vm.tiktok.com/ZMSxNxDRE/
0 Reactions
8 Replies
399 Views
Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25. Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na...
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga amejiunga katika maandamano ya vijana (Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa Jeshi la Polisi dhidi ya vijana. Maelfu ya waandamanaji nchini Kenya...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
BUNGE LA KENYA LALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHAKE KUTOKANA NA UPUNGUFU WA WABUNGE HUKU MAANDAMANO YA GEN-Z YAKIENDELEA Bunge la Kitaifa la Kenya lililazimika kuahirisha kikao chake mapema leo...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Wakuu Gazeti la Daily Nation la Kenya limechapisha orodha ya watu waliofariki kutokana na maandamano ya mwaka 2024 huko Kenya ambao wengi walikuwa ni Genz. Je kuna gazeti la Tanzania linaloweza...
1 Reactions
6 Replies
540 Views
1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands. 2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8 3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki Sasa wanataka nini?
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CAK) imetoa agizo kwa vituo vyote vya runinga na redio nchini kusitisha mara moja matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea ya tarehe 25 Juni. Katika...
0 Reactions
6 Replies
869 Views
Wakuu, Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vimeondolewa hewani baada ya kuendelea kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Maandamano, ikielezwa kuwa ni baada ya kukiuka amri ya kutoonesha...
3 Reactions
5 Replies
581 Views
"Mahakama yasitisha agizo la Mamlaka ya Mawasiliano lililopiga marufuku vituo vyote vya runinga na redio kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano, na kwamba kituo chochote kilichozimwa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Video hii ikonyesha maumivi ya watu walijitoa kupambani haki lakini maisha yao yakakatishwa njiani Kwa masikitiko na heshima kuu, tunawakumbuka mashujaa zaidi ya 60 waliopoteza maisha yao...
0 Reactions
10 Replies
419 Views
Rais Ruto amesema jukumu la polisi ni kulinda raia na mali zao na siyo kuwaua ama kuwazuru Hivyo ameagiza uhalifu wa mapolisi ushughulikiwe sawa na uhalifu mwingine Source: Citizen tv
14 Reactions
63 Replies
2K Views
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Siasa za kikabila Siasa za kimafia Siasa za kugawana juu kwa juu Madhara yake👇🏻👇🏻👇🏻
5 Reactions
40 Replies
2K Views
“Alitudanganya!” Mama yake Kennedy Onyango, kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z huko Rongai, amemtuhumu Rais William Ruto kwa kutoa ahadi za uongo kuhusu haki ya...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
https://youtu.be/X61w6HrLHms
0 Reactions
3 Replies
305 Views
Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Back
Top Bottom