Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Wana JF kuna mmoja anapunguza ndege na kuna mwingine anaongeza ndege hii imekaaje? Hii ina tofauti na wale wanaotamani kuikimbia ndoa na wengine wanataka kuingia kwenye...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
The number of Kenyans with more than Sh100,000 as savings in their bank accounts has dropped for the first time in more than 13 years, reflecting the cash flow problems in an economy plagued by...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya Dangote kuzidua kiwanda Tz, hatukulala humu, nyuzi zilianzishwa na misifa, tambo zilirindima, sasa sijui kulikoni maana naona anavurugwa kupita maelezo. -------------------- Hardly five...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kikosi cha wanariadha 47 watakaowakilisha Kenya kwenye IAAF World Championship kule Doha, Qatar kimetajwa. Hii ni baada ya ushindani mkali kati ya wanariadha ili wafuzu kujiunga na Team Kenya na...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Najua waTanzania mnapenda news kama hizi .. sherekea kabla mlale
1 Reactions
0 Replies
725 Views
Kila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi Rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Rutto asipoteze muda wake bure,hataweza kupenya hii Ngome mambo yameanza kupikwa viungo mbalimbali vimeshaandaliwa Rutto asifikiri kila akukenuliae yuko na wewe. Karata zimeshaanza kupangwa. Huu...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
https://www.kahawatungu.com/2019/10/07/kenyas-public-debt-2019-ksh5-8-trillion/ Huitaji kwenda shule ili ujue kwamba uchumi wa Kenya umesambaratika, ni wazi kwamba Jubilee wameshindwa kuiongoza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna nchi inayosikitisha kama kenya?? Madeni kibao Gharama kubwa za maisha Ugumu wa maisha ulopitiliza Nchi iliyokwisha matumaini Mnajishaua na kenya!Kenya ndo mdudu gani? Nchi inadaiwa...
16 Reactions
98 Replies
7K Views
Tukiweka ushabiki kando wa Kenya na Tanzania, ni wazi kwamba wakenya wengi wanaikubali sana Tanzania, hii inathibitishwa na jinsi wakenya wengi hasa wale wasomi wanavyoizungumza Tanzania katika...
20 Reactions
96 Replies
8K Views
Shirika la kimarekani linalohusika na masuala ya afya na lenye ofisi kwenye mataifa mbali mbali duniani ikiwemo Tanzania, limetoa tahadhari kwa wasafiri wote wanaokwenda Tanzania, Wameshauri...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Total has officially suspended all activities of Uganda-Tabzania oil pipeline. All suppliers and constructors has been notified to halt all EACOP project activities. All the reasons for the...
1 Reactions
127 Replies
12K Views
Hii video inaonyesha mazingira ya watu masikini sawa na Kibera kule Kenya, bado Tanzania ni masikini kama ilivyo Kenya na nchi zingine za Afrika. Kuna tofauti kubwa sana ya mazingira ya masikini...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwenye ukuaji wa utalii, Tanzania iko nyuma ya Kenya, Ethiopia, Afrika Kusini, Mauritius, Seychelles, Botswana na Namibia kwa mujibu wa ripoti ya The Travel and Tourism Competitive Index 2019...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Muda mfupi uliopita Mwanariadha matata sana wa Kenya CONSESLUS KIPRUTO ameshinda GOLD MEDAL (MEDALI YA DHAHABU) katika mbio za mita 3000 kwenye mashindano ya riadha ulimwenguni yanayoendelea pale...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kenya inazidi kunoga katika rank ya failed states ulimwenguni, katika hali ambayo Kenya inatajwa kwamba ni kati ya nchi 10 duniani zinazoongoza kwa ombwe kubwa la majobless wasio na uhakika wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu dada sijui kipi alfanyiwa kule Tanzania, maana kwa kweli alikua ameshushwa hadi sakafuni, ila Wakenya tulimpa hifadhi haswa kipindi alikua anaumwa na kumsaidia kwa kila hali. Enzi zake alikua...
7 Reactions
64 Replies
12K Views
Ukishamaliza kumsikiliza kwa makini huyu professor, tafadhali pitia " Comments " za wakenya hapo chini yake, kisha usiache kutupia maoni yako hapa JF.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom