Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Wefula Chebukati aliamua kukata jina la mgombea Urais asiyeona Dr Kigame bila sababu za msingi
Dr Kigame akaenda mahakamani na Mahakama ikamtaka...
Kama ulipata kutazama tamthilia ya Money Heist basi jina la Álvaro Morte sio geni masikioni kwani huyu ndio alikuwa Mastermind kupita maelezo wa michongo yote ya kupiga pesa, Morte tunamfahamu...
A few years ago Kenya announced grand plans to construct Africa's largest infrastructure dubbed LAPSSETT which would see a modern port in Lamu, then poised to be the largest in Africa, served with...
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga...
Mamlaka nchini Kenya imeweka marufuku ya kutotoka nje kwa siku saba (7) kuanzia jioni hadi alfajiri katika baadhi ya sehemu za kaunti ya Nakuru baada ya kuanza kwa ghasia za kikabila kwenye eneo...
Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika...
Leo tu taasisi ya kupambana na Rushwa imewakamata Magavana watatu na wako korokoroni hadi kesho watakapopandishwa kizimbani
Waziri wa Afya amekabidhi kwa DCI mafaili ya zaidi ya mafisadi 100...
Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo.
Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo...
Wakenya wanaopenda vinywaji vya kilevi wamepata pigo kubwa baada ya Serikali kuchukua hatua ya kupiga marufuku uuzaji wa pombe katika maduka makubwa (supermarkets), migahawa (restaurants)...
Rostam Aziz speaks out on the difficulty of Tanzanians investing in Kenya
WEDNESDAY MAY 05 2021
Mr Rostam Aziz in an interview with BusinessWeek PHOTO|SYRIACUS BUGUZI
Summary
Rostam was...
Maseneta sasa wametoa vitisho vya kuanzisha mchakato wa kuwapigia kura ya kutokuwa na imani (impeachment) Maspika wa Bunge la Kitaifa na Seneti iwapo hawatamuita Rais William Ruto kufika mbele ya...
Rais Ruto amesema kwa nafasi yako ni mtumiaji wa Law intelligence data na ana taarifa Wabunge wa Kenya wamekuwa wakinunuliwa na matajiri kwa maslahi ya wachache
Ruto ameahidi kukamata Wabunge...
GT
Eti ooh wale wanaharibu nchi yao wanabomoa lami na majengo upuuzi mtu wa maCCM.
Hizi habari zimfikie kizimkazi manara na RC Chalamila
Sisi waona tuliwaambia wale wanajenga nchi yao.
Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani?
Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua
Ahsanteni sana
Mtanikumbuka 🙏😄
Kenya 🇰🇪 has been ranked the top user of ChatGPT in the world.
This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI tool—higher than any other country.
===
How...
Rais wa Kenya, William Ruto, amejibu hatua ya Marekani ya kutaka kupitia tena hadhi ya nchi yake ya mshirika mkuu asiye mwanachama wa NATO, akisema kuwa machaguo yake ya sera za masuala ya mambo...
Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya...
Naibu Rais Kithure Kindiki na Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen wamemtaka kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Wananchi (DCP), Rigathi Gachagua aandikishe taarifa na polisi aliporejea...
🗿 Lost Cities of Kenya – Echoes of a Forgotten Past 🇰🇪
Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power — now silent, but not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.