joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Kenya lacks enough Covid-19 testing kits, says Jubilee MP
Wakati Kenya ikiripoti ongezeko kubwa la maambukizi ya Corona na vifo kufikia watu 2, tatizo la upungufu wa vifaa vya kupimia watu wenye kutiliwa shaka linaweza kusababisha maambukizi kuongezeka kwa kasi zaidi
Tunaomba zile pesa zilizopatikana kwa kupunguza mishahara ya wafanyakazi mbalimbali, na pesa zilizopatikana kutokana na mikopo iliyochukuliwa ili kukabiliana na hili janga, haraka sana zitumike kununulia hivyo vifaa.
Pia tunaomba serikali yetu ya Tanzania ianze kufikiria kutusaidia hizi nchi za EAC, ambazo inaonekana wazi kwamba zinaanza kuelemewa na hili tatizo. Kasi ya maambukizi katika nchi za Rwanda, Kenya na Uganda ni kubwa Sana, sidhani Kama Tanzania tutabaki salama tusipowasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app