Corona: Waliokufa kwa maradhi Kenya -2 Waliopigwa na Polisi wa Corona wakafariki -2

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Huu mchezo unasisimua kweli kweli
Vifo Kwa sasa:
Corona -2
Polisi -2
Dakika ni ya 2' mchezo bado 90'

Screenshot_2020-03-31_131903.jpg
 
Huu mchezo unasisimua kweli kweli
Vifo Kwa sasa:
Corona -2
Polisi -2
Dakika ni ya 2' mchezo bado 90'

View attachment 1404871
Magufuli kacheza karata nzuri kwenye hizi dakika2 za mwanzo sasa tusubirie hizo dakika90 zilizosalia,

Isije kuwa ni time bombing wengi tuwe karantini mloganzila, mochwari au kuzikwa kwa makundi makundi katika makaburi ya pamoja

Tujifunze kutazama kwa jicho la tatu siyo kila kitu kwetu ni siasa na ushindani, hadi leo mwendokasi bado ni kubanana kama kawaida kazi ni kunawishwa mikono kama tunasubiri supu ya kongoro

Marekani hakufanya lockdown leo hii ni namba moja kwa maambukizi basi tujifunze kutoka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hii maneno ni hatari Tanzania itabidi tuige Uganda before its too late!

 
Back
Top Bottom