Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Huyu jamaa alikuwa Mkenya aliyeifahamu lugha ya kiswahili na kukienzi mno. Nakumbuka nikisoma kitabu chake "Siku Njema" nikiwa bado shule ya msingi. Nakumbuka pia nikimtazama katika habari za saa...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Hii ndio kawaida katika utendaji kazi wa Polisi wa Kenya. Kenya polisi anaweza kumfanyia raia vile apendavyo na hakuna hatua zozote huchukuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanamuziki Tanasha Donna amewekwa Karantini kilazima baada ya kukiuka agizo la Serikali la kubaki ndani kwa muda huu wa tishio la CoronaVirus Tanasha, aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kenya inaendelea kuwa nchi ya vituko, hakua lolote linalofanyika kwa dhati na usimamizi ulio makini. Wakati ambapo watu wanaowekwa katika hizi kambi maalumu wanapaswa wasikaribiane wala kushikana...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Makumi ya watu waliokuwa katika karantini ya lazima nchini Kenya wamefanya mgomo na kutishia kutoroka katika kituo hicho katika mji mkuu wa Nairobi. Wanadai kwamba kusalia kwao katika vituo hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MK254 hebu usilale sana, jamaa anataka kufunga hako ka kitu kako, mkeo uwe unamwangalia tu kwa macho
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna hii video iko YouTube inaonyesha hali ya majirani zetu imekua mwendo wa kuondoa maiti kwenye manyumba, jameni naomba serikali yetu isitufikishe huku, pima pima pima, fuata kila mtu mtaani...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Hospitali hii ina shughulikia jumla ya wagonjwa 123 walio na corona, duh, mambo yanatisha hapo ndani kazi si mchezo
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Credit: Standard Digital Consumers pay more for cereals as border shut Grace Njanja, a cereals trader, going about her daily business at Nyamakima cereals market in Nairobi on April 8, 2020...
7 Reactions
91 Replies
10K Views
Even in the midst of a crisis such as the one brought about by Covid-19, there are positive stories to tell, such as Ms Ogutu Okudo’s. She is on this year’s “Forbes Africa 30 under 30” list — the...
2 Reactions
1 Replies
825 Views
Shughuli ya kupima inaendelea, pima pima pima..... itasaidia kugundua hali ilivyo mtaani badala ya kukaa tunajidanganya. ===== Health Chief Administrative Secretary (CAS) Mercy Mwangangi, on...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeipata hii video kwenye uzi mwingine, Watz wanaopiga vifua huku wakisema tuwaige wao kwamba wana mbinu bora za kuidhibiti Corona, waitazame hii video, waziri anakiri kuhusu uwezo wao kuwa...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Fuel prices in Kenya have dropped by up to Sh. 18 per litre in the latest Energy and Petroleum Regulatory Authority monthly review. Super Petrol, Diesel and Kerosene have decreased by Sh. 18, Sh...
1 Reactions
1 Replies
799 Views
Watu 35 wanaodaiwa kuingia nchini kinyemela wakitokea nchini Kenya wamewekwa karantini kwa siku kumi na nne huku serikali wilayani Tarime mkoani Mara ikifunga maegesho yote ya waendesha...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna video, Watanzania wanachekelea na kuisambaza kwenye mitandao ya mdada anayesemekana ni Mkenya aliyetelekezwa na wenzake baada ya kuonekana na dalili za Corona. Nawashangaa sana Watanzania...
12 Reactions
36 Replies
4K Views
Tumewapa amber rutty lakini bado hamridhiki tu, ni nini shida?? Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208 Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa. Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom