Watu 8 zaidi wathibitika kuwa na #CoronaVirus nchini Kenya na kufanya idadi ya visa kuripotiwa nchini humo kufikia 270
Pia wizara imetangaza vifo viwili zaidi vya wagonjwa wa #CoronaVirus na...
Wamekamatwa majumbani mwao walikoalikana na kubugia pombe, Kenya taasisi ziko huru, imeshatolewa amri kwamba hata kwako nyumbani ukae wewe na familia yako basi, sio unaalika watu msongamane humo...
Kila siku namba za waathirika zimekua zikipandisha, na vifo pia, ila hatuongei kuhusu wanaopona, ifahamike mpaka mtu utajwe umepona unapitia ukaguzi sio haba, hivyo kunao wamepona lakini bado...
I have been wondering why Tanzanians are so dumb...buts its not them to blame it's there ancestors,they inherited stupidity;If you studied history in High school you might have come across this...
Trump Tells Americans They Don’t Need Coronavirus Testing
Tumelisema sana hili jambo, ila kwasababu sisi tuna ngozi nyeusi hatuthaminiki wala hatusikilizwi, sasa kwasababu amesema "Mungu" wa...
Twelve more patients have tested positive for coronavirus in Kenya raising the total number of COVID-19 cases in the country to 246.
Health CS Mutahi Kagwe, in a press briefing at the Jomo...
Prof. Isaac Sanga Kosgey, the incumbent VC Moi University graduates with First Class Honors Bachelor of Law degree at the Open University of Tanzania (OUTZ).
Wengi walipimwa kisa walihusiana na waathirika wa mwanzo, ila la kushangaza waligunduliwa wana kirusi bila ya wao kuwa na dalili zozote hata kukohoa wala nini, na hii imebainiika hata kule Uchina...
Pima pima pima, fuata mpaka uswahilini, hatutaki serikali ifuate maiti huko.
Wote waliohusiana na kila muathirika, na wote waliohusiana na hao, yaani mtandao wote kwenye kona na vitongoji vyote...
Ultra Red Technologies, along with a coalition of other Kenyan-owned 3D printers are producing a ventilator adaptor that will allow multiple treatments of Covid-19 patients and face shields.
The...
I like this new manufacturing drive by Kenyans...we should continue with the same spirit....
We should wean ourselves off Chinese products...
tujitegemee sasa AfriKa kote
Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana...
Kwa uzembe huu kweli kuna mtu unaweza kushangaa kwanini Kenya maambukizi ya Corona yapo juu sana?.
Watu 32 kutoroka toka sehemu waliyozuiliwa, ni ishara wazi kwamba Kenya hawana mikakati yoyote...
Kenya Airways is has converted 4 passenger planes to cargo planes to export horticultural products to Europe... kazi haisimami hata Corona ikitufunga miguu...
Hongera Wakulima wa maua na matunda...
The University of Nairobi has proposed that 2.5 per cent of funds mobilised to fight Covid-19 be channelled towards the development of diagnostics, therapeutics and vaccines.
The university, in a...
Shughuli za kupima kupima kupima zinaendelea, hatutaki serikali itufikishe kwenye level ya kufuata maiti za watu kwenye nyumba zao. Idadi ya waliopona sasa ni 53.
======
Health CS Mutahi Kagwe on...
Kenya imeipiku Italy na kuchukua nafasi ya saba duniani kwa kuzalisha Geothermal energy. Kenya sasa inazalisha 823 MW huku Italy ikizalisha 800 MW.
Hakuna nchi nyingine ya Afrika inayozalisha...
Kuna kisa cha mama mmoja toka South Africa aliyejiua akiwa katika kambi za karantini nchini Kenya akilalamikia mazingira mabaya katika kambi hizo, kama kawaida wakenya walikanusha kuwepo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.