Tuhabarishane habari za matumaini pia, Kenya sasa waliopona ni 60

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Kila siku namba za waathirika zimekua zikipandisha, na vifo pia, ila hatuongei kuhusu wanaopona, ifahamike mpaka mtu utajwe umepona unapitia ukaguzi sio haba, hivyo kunao wamepona lakini bado wanaendelea kukaguliwa, idadi yao haijatajwa, ila waliopona kabisa na kuhakikiwa kwa mbinu zote ili kuachiwa uraiani idadi yao 60 sasa.


Additionally, Mutahi confirmed that seven people had been discharged, bringing the total number of recoveries to 60.
Kenya's Covid-19 Cases Rise to 262
 
Back
Top Bottom