Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,048
- 79,042
Middle income
Wachina watawauwa, msipende kupaparikia kila kitu, muwe mnaachaga na wengine weingie mkenge.Tatizo liko wapi, madaktari Wachina leo hii wanafuatwa hadi na Marekani maana kwao huko China wameweza kupambana na hiki kitu ambacho ndugu zao walikianzisha kwa kula kula vitu vya hovyoo.
Pesa tunazo za kutosha kuagiza wataalam kote.
Jana nilisoma sehemu taayari China imezindua chanjo dhidi ya hiki kirusi, hivyo hapo kila mtu dunia yote lazima apige magoti kwa Mchina, kwanza viinchi maskini kama nyie ambao hamna safety net, mkirudishwa nyuma kidogo mnaangukia pua.
Wachina watawauwa, msipende kupaparikia kila kitu, muwe mnaachaga na wengine weingie mkenge.
Hivi dada yako, Dr. Mumbi huwa anastua stua le kitu, maana macho yake huwa makavu sana.
Shida ni kujisifia wewe ni bora kuzidi waafrika wengine halafu mwisho wa siku kumbe unahitaji misaada kama hii.Kuna shida gani na kupewa msaada? Huu ugonjwa ulianzia kwao, na saa hii they have it under control mbona wasiwasaidie nchi zingine ambazo zinaumia sana na hili janga? Mnatubwaga majamaa!
Leo mmekuwa wapole kwa kuwalilia 'communists'wawasaidie, l thought 'capitalists' r self sufficient on everything.Wangekua na nia ya kutuua, wangetuua kitambo, madubwana ya Jack Maa yamepokelewa na mataifa yote 54 na bado anaendelea kutuma mengine kwa ajili ya mataifa yote mkiwemo, tatizo Miafrika tunapenda kujifanya jeuri na wakaidi ilhali umaskini, uzembe na ujinga vimetamalaki kwenye bara hili.
Kwa sasa hivi dunia iko mikononi mwa Mchina, yeye anajua alikotoa hiki kitu, aidha kakibuni kwenye maabara au kwenye vitu anavyopenda kula kula. Wote metukalisha, kuanzia kwa Mzungu na mawigi yake, kuja kwa Muisraeli hadi kwa Mwarabu hakuna mwenye jeuri dhidi yake, sasa kajamba wa Afrika na umaskini wote huu unataka utunishe misuli.
Kwanza Afrika tushukuru sana hiki kirusi bado hakijaonyesha makucha Afrika, bado kinatubip tu, siku kikiwa na nia ya kutushukia, tutakufa kama mende na kushindwa hata kuzikana, maana wenye tabibu za kitaalam na chumi za hali ya juu mara 1,000 zaidi yetu wanakufa kama siafu, sisi ambao jamii zetu hata maji ya kunywa ni shida, ya kunawa mikono kila baada ya dakika 15 yatapatikana wapi.
Hebu tazama hii video wanawake wa Tanzania wanapigania maji, sasa kama hawa Corona likiwaibukia, yupi atabaki salam
Bado unawaamini wachina, vipi wameshaifikisha reli yenu Naivasha?Wangekua na nia ya kutuua, wangetuua kitambo, madubwana ya Jack Maa yamepokelewa na mataifa yote 54 na bado anaendelea kutuma mengine kwa ajili ya mataifa yote mkiwemo, tatizo Miafrika tunapenda kujifanya jeuri na wakaidi ilhali umaskini, uzembe na ujinga vimetamalaki kwenye bara hili.
Kwa sasa hivi dunia iko mikononi mwa Mchina, yeye anajua alikotoa hiki kitu, aidha kakibuni kwenye maabara au kwenye vitu anavyopenda kula kula. Wote metukalisha, kuanzia kwa Mzungu na mawigi yake, kuja kwa Muisraeli hadi kwa Mwarabu hakuna mwenye jeuri dhidi yake, sasa kajamba wa Afrika na umaskini wote huu unataka utunishe misuli.
Dunia hamna cha kuamini yeyote, tunakwenda na hali kama ilivyo kwa uwezo wetu, nyie hapo hata panadol hamna uwezo wa kuitengeneza, mtapata wapi jeuri ya kumsema Mchina.Bado unawaamini wachina, vipi wameshaifikisha reli yenu Naivasha?
kwani ni siri???Shida ni kujisifia wewe ni bora kuzidi waafrika wengine...
Si unaona jinsi mnavyowafukuzia Angola kwa kudaiwa na wachina.Dunia hamna cha kuamini yeyote, tunakwenda na hali kama ilivyo kwa uwezo wetu, nyie hapo hata panadol hamna uwezo wa kuitengeneza, mtapata wapi jeuri ya kumsema Mchina.
Reli alifikisha Naivasha kitambo, nyie mliwasuta ilhali walikua wajenge reli yote kona zote, nilikua nasoma sehemu mahesabu ya Mturuki mpaka aje kukamilisha lazima gharama zitapitiliza za Mchina na pia ucheleweshwaji mwingi.
Ubora upi?kwani ni siri???
Ile nyongo ya dubu ndio chanjo ya corona! Si bora nikanywe kikombe cha babu loliondoTatizo liko wapi, madaktari Wachina leo hii wanafuatwa hadi na Marekani maana kwao huko China wameweza kupambana na hiki kitu ambacho ndugu zao walikianzisha kwa kula kula vitu vya hovyoo.
Pesa tunazo za kutosha kuagiza wataalam kote.
Jana nilisoma sehemu taayari China imezindua chanjo dhidi ya hiki kirusi, hivyo hapo kila mtu dunia yote lazima apige magoti kwa Mchina, kwanza viinchi maskini kama nyie ambao hamna safety net, mkirudishwa nyuma kidogo mnaangukia pua.
Si unaona jinsi mnavyowafukuzia Angola kwa kudaiwa na wachina.
Madawa tunatengeneza bana, hata dawa za malaria zinafyatua kibaha.