Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa...
Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa...
Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724)...
Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema:
"Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata...
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa...
Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station).
Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert...
Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi...
Albert alikamatwa akiwa nyumbani kwao na wazazi wake wakijiandaa kula chakula
Ndani ya saa 24 baba yake akaletewa taarifa kuwa mwanae amekufa baada ya kujibamiza ukutani kwenye selo aliyokuwa...
Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
Abiria waliokuwa wakisafiri kwa usafiri wa umma (matatu) jijini Nairobi walikamatwa Jumatano jioni kwa tuhuma za kumzuia afisa wa polisi wa trafiki kumkamata mmoja wao. Tukio hilo lilitokea baada...
Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira.
Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na...
Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya
Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu.
“Mama aliniambia kwamba wakati...
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati
Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua...
Wana jamvi Habari zenu.!
Hivi ndugu zetu wa kenya wanamatatzo gani?
Ukiachana na yule jamaa aliejiita mungu (YEHOVA WANYONYI) wa kenya magharibi alifariki 2021.
sasa tena hukohuko kenya...
Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu
https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
Mbunge wa Kenya aliyeibua hisia kali baada ya kutisha kuwafurusha wageni wanaofanya biashara ndogo ndogo zinazofaa kufanywa na wazawa, leo ameitembelea Tanzania ambayo pia aliitaja kwenye matamko...
Pia lihakikisha Jeshi hilo linakuwa huru kufanya majukumu yake pasipo kuamrishwa na wanasiasa bali kwa mujibu wa sheria. Je, Tanzania haitamani tufike huku?
Sitashangaa kusikia watu fulani...
Wakuu,
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametangaza Ijumaa tarehe 6 Juni 2025 kuwa sikukuu ya Eid-ul-Adha kupitia tangazo la gazeti la serikali lililotolewa Jumatano.
“Taarifa...
Hii sasa ukisika atucheki na wowote ndiyo hii. Pia ni kuonyesha ukomavu katika kusimamia sheria na utaratibu uliwekwa bila kujali cheo au nafasi ya mtu!
Mwanamke mmoja, kwa kuonesha mshikamano na...