Swala la chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa uviko unaosababishwa na kirusi hatari zaidi kwa sasa, bado halijakuwa na mwamko kama ilivyo kwa chanjo nyingine kama polio, bcg.
Je, kwanini unadhani...
A potential partnership between Kenya Airways and South African Airways appears to be a done deal. Kenyan President Uhuru Kenyatta announced during an address to the nation on New Year’s Eve that...
Lengo ni kufiksha mifugo 500,000 kwa mwaka
Kenya on Monday resumed direct export of livestock to Oman after more than 16 years ban.
A ship carrying more than 14,000 goats and sheep from...
Former Cabinet Minister and Attorney General Charles Njonjo
In a message of condolence, President Uhuru Kenyatta said Njonjo passed away peacefully at 5am on Sunday. He was aged 101.
"It is...
Bwana Charles Njonjo kaaga dunia jana. Hapa ni maoni makali kabisa kumhusu:
Miguna Miguna: The Charles Njonjo I know
Enyi mlioko madarakani mnaojinasibu kuwekwa huko na Mola huku ghiliba zenu...
Kenya imeweka vikwazo kwa wasafiri toka nchi kadhaa za afrika huku ikiruka Tanzania,
Ikumbukwe Tanzania haijawahi jihangaisha sana na Huu ugonjwa japo matokeo ya maambukizi na Vifo kati ya...
H.E. Raila Amolo Odinga prepares to take oath of office this year as the Kenya's 5th Head of State and the 8th President from Luo Dialect in the world.
Images by the courtesy of gettyimages and...
Professor Robert Mokaya of Nottingham University in the United Kingdom
A Kenyan professor has become the latest recipient of a prestigious award in the United Kingdom.
Professor Robert Mokaya...
Over the past few decades,Kenya has experienced mass improvement of transport in land,air,rail and water.
Lets celebrate that by posting pictures,even videos of such all around Kenya.
A2 Thika...
Hapa sitalinganisha maana mumelialia sana na kulalamika, wakati mlianzisha wenyewe.
hapa naorodhesha miradi inayoendelea Kenya na hata iliyopangiwa.
Hii hapa barabara ya Outer Ring ambayo tayari...
Kuruka kwa miavuli ni ngumu sana na inahitaji ustadi na ueledi wa hali ya juu. Wanajeshi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu ili kuweza kuruka kwa miavuli na kunyemelea adui nyakati za usiku...
Watani zetu Hawa wamepata 223 Billion Ksh. Toka taasisi za kimataifa eg, IMF, EU n.k kupambana na COVID19 ndo maana kutwa kutoa data za kubumba. Sasa pesa wanafyonza wachache huku wanyonge...
Mababu zetu waliopigania uhuru wa Mwafrika pale walipo kama wana uwezo wa kuyaona haya kweli watafarijika kwa kujua jitihada zao zilizaa matunda, wajukuu wao, wazawa wa nchi hii leo wanahusika...
Waziri wa mambo ya nje Marekani amewasiliana na rais Uhuru kwa simu wakaijadili Ethiopia na udhabiti wa Afrika kwa jumla.....
Kenya's President Uhuru Kenyatta and US Secretary of State Antony J...
Baada ya kurejea Uganda,Wabunge zaidi ya 50 wa Uganda wamekutwa na Maambukizi vya Virusi hatari vya OMICRON. Wizara ya afya nchini Uganda ilisema kwamba,Wabunge hao walipimwa kabla ya kuondoka na...
Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu.
Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea...
A 73-Year-Old man who fatally injuried his drunk son for rudely interrupting his sleep is in police custody.
James Tarus was arrested moments after the 7pm incident last night at his home in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.