MY TAKE: Ikumbukwe kwamba uchaguzi wa Kenya ndio uchaguzi ghali zaidi duniani na kwamba Kenya ni miongoni mwa nchi zenye deni la taifa kubwa zaidi Afrika.
Sasa nadhani tunajua wapi GDP ya Kenya...
Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022.
Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini...
US Embassy Issues Travel Advisory Against Kisumu
By GEOFFREY LUTTA
US Embassy in Nairobi has issued a travel advisory to its citizens and personnel to exercise caution while visiting the lakeside...
Anthony Blinken anatarajiwa kuzungumza na rais Kenyatta kuhusu vita vinavyoendelea Ethiopia pamoja na mambo mengine. Malazy huwa mnapuuzwa ni kama hampo duniani. Poleni zenu.
Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa...
Mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga.
Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video...
Siku 10 tangu Serikali ya Kenya kutangaza kushusha bei ya unga wa mahindi kuwa Ksh. 100 kutoka Ksh. 200 kwa kilogram 2, uhaba wa bidhaa hiyo umekuwa mkubwa katika maduka mengi.
Wauzaji wengi...
Rais mstaafu Dr Kikwete ataongoza kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya
Chanzo: ITV
--------
Jakaya Kikwete is head of mission to Kenya
Source: KTN...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema leo kushindwa kwa mamlaka ya Kenya kuwawajibisha polisi kwa tuhuma za kuua mamia ya watu baada ya uchaguzi wa mwaka 2017...
Waziri wa Elimu, Prof. George Magoha ametangaza kufungwa kwa ghafla kwa shule zote kuanzia Agosti 2 kabla ya uchaguzi mkuu nchini humo na kufunguliwa Agosti 11 na kuwaacha katika sintofahamu...
Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi...
Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa.
Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94...
MY TAKE; Hahahaha sababu GDP ya Kenya ni kubwa kuliko GDP zote duniani.
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
RAILA ODINGA AWAJIBU WANAODAI HAWEZI KUONGOZA NCHI KUDAI HAJATAHIRIWA
"Baadhi ya watu wanasema siwezi kuwa Rais sababu sijatahiriwa. Ninajiuliza Walijuaje kuwa sijatahiriwa?” Raila Odinga"...
A day after Central Bank of Kenya (CBK), Kenya’s monetary authority, said that Chipper Cash and Flutterwave were not licensed to operate in the East African country, the regulator has directed all...
Peter Mbogo Njiru
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amemteua msaidizi wake wa zamani (aide-de-camp - ADC) Peter Mbogo Njiru kuwa Mkuu wa Majeshi wa Kenya, ikiwa ni wiki chache kabla ya kuondoka...
William Ruto amekosoa uamuzi wa Mpinzani wake, Raila Odinga kutoshiriki Mdahalo wa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Agosti akisema kitendo hicho ni kuepuka Uwajibikaji
Amesema Raila si Mgombea...
This system uses Direct Digital Synthesis Sweep and dedicated software to maximize its effectiveness. This high powered jamming system vehicle enables the operator to swiftly program the unit via...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.