Kenya 2022 Dkt. Kikwete kuongoza Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Rais mstaafu Dr Kikwete ataongoza kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

Chanzo: ITV

--------

Jakaya Kikwete is head of mission to Kenya


Source: KTN News Kenya

Follow in detail the news of Jakaya Kikwete and his fellow team members who constitute the EAC Election Observation Mission

H.E Jakaya Kikwete launches the EAC Election Observer Mission to the 2022 Kenya General Election​

Posted in Peace & Security

East African Community Headquarters, Arusha, Tanzania, 1st August, 2022: The East African Community (EAC) has today officially launched the EAC Election Observation Mission, set to observe the upcoming General Elections in the Republic of Kenya.

The Head of the EAC Election Observation Mission is H.E Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, former President of the United Republic of Tanzania.

pr 01082022 02


Dr. Kikwete announced the mission comprises 52 observers drawn from key governance and independent institutions and civil society organizations across the EAC Partner States except Kenya. The mission will be in the country from 1st August 2022 and is set to depart on 12th August, 2022.

“We are here to assess the level of preparedness of the key electoral stakeholders for this election. We are also looking at the level of compliance of the electoral processes and management to the international, regional and national established laws, principles and practices,” he said.
1659378481449.png

Dr. Kikwete further said that the EAC Observer Mission will assess the adherence to the democratic principles of the EAC as enshrined in the Treaty.

“We are committed to offer objective recommendations for continuous improvement for the conduct of this general election,” he said Dr. Kikwete.

The mission will build on the outcomes of the Joint African Union/EAC/IGAD/COMESA pre-election assessment conducted over the last one month.

H.E. Kikwete said that the mission will interact with a number of key stakeholders in pursuit of peaceful elections. Among these will be IEBC, political parties, candidates, the judiciary, security organs, media and civil society.

The EAC will then announce the findings of the mission through an Interim Statement on 11th August, 2022.

The EAC Secretary General, Dr. Peter Mutuku Mathuki, in remarks read on his behalf by the EAC Principal Political Affairs Officer, Mr. David Onen, said that EAC´s mandate to observe elections in Partner States, is governed by the Treaty and the EAC Principles for the Observation and Evaluation of Elections.

“As a region, we have a conviction that regional observation is critical to enhancing the credibility of the elections, reinforcing the work of domestic observer groups and enhancing public confidence in the entire electoral process,” he said.

Dr. Mathuki reaffirmed EAC´s commitment to strengthen governance and enhance the culture of democracy as a fundamental principle of the Community.

“The Treaty under Article 6 (d) requires the Partner States to uphold “good governance including adherence to the principles of democracy, the rule of law, accountability, transparency, social justice, equal opportunities, gender equality as well as the recognition, promotion, and protection of human and people’s rights in accordance with the provisions of the African Charter on Human and People’s rights,” said Dr. Mathuki

Source : H.E Jakaya Kikwete launches the EAC Election Observer Mission to the 2022 Kenya General Election
 
Hili zee halitaki kustaafu?

Au linasubiri kustaafishwa kwa bunduki?

You seem to be badly brought up by your parents. You are seriously weird. I don’t know how you are living with the society.

A proper person to supervise a country national election must be a person above the ones who are running for election.

A person like you to consider being an observer will be a scandal and terrible.

Learn how to think and act like a human being.
 
Sijuhi ni porojo tu za mwalimu wangu wa historia au ni UKWELI kuwa: eti wakoloni baada ya makoloni yao kupata uhuru waliacha wamewateua watu wao na hasa kutoka Koo za machivu na watu wengine maarufu ambao huwatumia hadi leo kututawala kupitia mlango wa nyuma....

Kuna kila dalili Kikwete huwa ni hao hao mawakala wa akina Carl Peters,
Mawazo yangu tu lakini!
 
You seem to be badly brought up by your parents. You are seriously weird. I don’t know how you are living with the society.

A proper person to supervise a country national election must be a person above the ones who are running for election.

A person like you to consider being an observer will be a scandal and terrible.

Learn how to think and act like a human being.
Tafadhali, sijui Kiingereza.
 
Sijuhi ni porojo tu za mwalimu wangu wa historia au ni UKWELI kuwa: eti wakoloni baada ya makoloni yao kupata uhuru waliacha wamewateua watu wao na hasa kutoka Koo za machivu na watu wengine maarufu ambao huwatumia hadi leo kututawala kupitia mlango wa nyuma....

Kuna kila dalili Kikwete huwa ni hao hao mawakala wa akina Carl Peters,
Mawazo yangu tu lakini!
Huo ndio ukweli.
 
EAC nayo ilete Tanzania 2025 waangalizi kuangalia mazingira ya kuwepo kampeni huru, maandalizi, matayarisho na vigezo vya kanda na kimataifa kuhusu uchaguzi huru na wa haki pia kama wadau na wasimamizi wa mchakato mzima kuelekea uchaguzi wa Tanzania 2025 wapo vyema bila kubinya au kuegemea upande kama ilivyokuwa uchaguzi wa Tanzania 2020.
 
01 Agosti 2022

KIKWETE AMTETEA RAIS UHURU KENYATTA

Ni baada ya kuulizwa swali juu ya rais Uhuru Kenyatta anayemaliza muhula wake wa kuongoza nchi kushiriki kumkampenia Raila Odinga



Rais mstaafu Jakaya Kikwete asema rais Uhuru Kenyatta ni raia mwenye haki kushiriki katika siasa za Kenya kama raia mwingine yeyote.

Kenya itafanya uchaguzi wake mkuu wa kuwachagua nafasi zifuatazo: Urais (1), Gavana (47), Seneta (47), Mjumbe wa Bunge la Kitaifa (290), mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti (47), na Mjumbe wa Bunge la kaunti mca (1450) .

Jumla ya Wakenya milioni 22.1 ndiyo waliojiandikisha kupiga kura hapo 9 Agosti 2022 .


Wagombea wa Urais Kenya, waliopishwa na IEBC Tume ya Huru ya Uchaguzi na mipaka ya Kenya ni Raila Odinga (Azimio Coaltion), William Ruto (Kenya Kwanza Coalition), Prof. George Wajackoya (Roots Party) na Mwaure Waihiga (Agano Party)
 
Back
Top Bottom