Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya imeahirisha uchaguzi wa gavana wa Mombasa na Kakamega pamoja wabunge wa Kacheliba na Pokot Kusini baada ya karatasi za kupigia kura kuonekana...
May 17, 2020
By John Njoroge, Nairobi,
Dr. Magufuli spent years as a chemical lab expert as seen in this old photo of him. He is the only scientist President in the EAC so is his unique...
Mzuka wanajamvi!
Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa...
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini.
Lakini ilipowadia muda wa wagombea hao kuwasilisha maombi...
Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imesitisha Uchaguzi wa Ugavana katika Kaunti za Kakamega na Mombasa, kutokana na makosa ya uchapishaji kwenye karatasi za kupigia kura
Pia, Uchaguzi wa Wabunge...
Wasimamizi 4 wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wamefukuzwa kwa madai ya kukutana na Mgombea nyumbani kwa mgombea huyo huko Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay
Maafisa hao wanadaiwa walikuwa katika...
Kwa miaka zaidi ya 60 (miongo 6/6 decades) familia hizi zimekuwa zikiitawala Kenya Kisiasa na Kiuchumi!
Hawa wote kazi yao ni moja tu, kuiba mali za Wakenya na kucontrol Serikali ili kuhakikisha...
Kampeni za uchaguzi Kenya zimemalizika rasmi jana lakini wataalamu wa siasa wanahofia juu ya hatari kutokana na taarifa potofu zinazochapishwa mitandaoni na wafuasi wa wagombea wakuu.
Benedict...
Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta...
Benjamin Mkapa ni hayati sasa. Huyu Mwamba ndie Raia aliyeongea Kiingereza kilichonyooka kisichofungamana na lugha za Kikukiyu, kiluya, kinyakyusa, kimakonde au lugha yoyote Mama Afrika Mashariki...
Salaam Wakuu,
Kweli Urais sio jambo la kitoto. tazama hapa malupulupu anayopata Rais wa Kenya akiondoka madarakani.
malupulupu ya ustaafu kwa Rais wa Kenya
Jane Kibe (48) na Peris Wanjiru (35) wamenusurika kifo baada ya kuchomwa visu na kijana mwenye umri wa miaka 17 kwa madai ya kukataa kumuunga mkono Baba yake anayegombea Ubunge
Mtuhumiwa aliingia...
Hii article imekuwa published kwa Forbes two hours ago. Mzungu amemwaga sifa sufufu kwa Sgr yetu. Nakumbuka zamani kabla Sgr kukamilika wazungu walikuwa wanasema eti hii Sgr ni white elephant...
Viwanda za Western zitarudishwa. I learned from my late brother
@MagufuliJP that sometimes you just show up unexpected. My impromptu visit to Mumias Sugar today confirms that industries will be...
Tunazidi kuingia kwa Bakongo kifua mbele.....
KCB Group has entered the Democratic Republic of Congo (DRC) through the acquisition of a majority stake in Trust Merchant Bank (TMB), becoming the...
Jaji Mkuu wa Kenya ameondoa sharti la Mawakili ambao wanajumuishwa rasmi katika kazi hiyo kuvaa wigi za kitamaduni, kwa sababu upatikanaji wake ni wa shida.
Wanasheria na Majaji nchini Kenya na...
Zaidi ya waangalizi 18,000 na mamia ya waandishi wa habari wa kimataifa wamewasili Nchini Kenya kufuatilia Uchaguzi huo, idadi hiyo imetajwa kama kiashiria cha namna Uchaguzi huo unavyotazamwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.