Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok.
Duru za kuaminika...
Wakazi wa mji wa Migori ulioko kaunti ya Migori wamefunga barabara ya kuelekea mpaka wa Kenya na Tanzania - ISEBANIA.
Barabara hio pia hutumika na wasafiri wanaoelekea mji wa Kisii.
Migori ni...
Gavana wa kaunti ya Kisumu Professor Anyang' Nyong'o ametangaza kufanya wamuzi wa kusitisha maandamano dhidi ya serikali, na badala yake ametoa rai kwa wananchi wa kaunti hiyo kuungana na wenzao...
Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana.
Wavamizi waliiba kondoo zaidi...
Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio.
Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati...
Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi.
Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha...
Kwa wiki ya pili Sasa Jamhuri ya Kenya na nchi jirani yetu wamekuwa kwenye mvutano kati ya serikali na wananchi. Nasema ni wananchi vs the government kwa sababu tumeshuhudia polisi dhidi ya raia...
Mwenyekiti wa Kamati ya Umoja wa Afrika Moussa Faki ametoa rai kwa viongozi wa Kenya kutafuta mwafaka katika mzozo unaondelea baina ya serikali na upinzani.
AU imeeleza kusikitishwa kwake na...
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na...
Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Azimio la Umoja One amelaani uvamizi huo uliofanywa makundi ya Wahalifu walioiba na kuchinja baadhi ya mifugo ikiwemo Mbuzi na Kondoo waliokuwa ndani ya Shamba...
Jumatatu tarehe 27 Machi 2023 imekuwa ni siku ya taharuki katika maeneo mengi nchini Kenya huku vuguvugu la maandamano linaloongozwa na Raila Odinga likizidi kurindima.
Leo imekuwa ni siku ya...
Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya...
Hali ni tete muda huu katika mitaa ya Kibera baada ya makundi mawili yaishio eneo hilo kuzozana juu ya maandamano yaliyoshuhudiwa mchana kutwa jijini Nairobi.
Kikundi kimoja kinasadikiwa...
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, kupitia ukurasa wake wa twitter amethibitisha kutuma Zimamoto kwenda kudhibiti hali eneo la Kibra, ambapo moto mkubwa unazidi kuenea na kuteketeza...
Moto mkubwa umezuka katika ardhi inayomilikiwa na familia ya Kenyatta karibu na barabara ya Eastern Bypass huko Ruiru, kaunti ya Kiambu.
Mlipuko huo wa moto unakuja saa chache baada ya mamia ya...
Mamia ya watu wasiojulikana wavamia ardhi ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta iliyoko Ruiru [Northland's farm].
Imeripotiwa kuwa wamekata miti kadha na kuondoka na mbuzi.
=======
Armed groups...
Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na...
Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, imeomba radhi kwa kuchapisha picha za zamani katika taarifa yake ya msako, ikiwataka washukiwa wanaodaiwa kuhusika na vitendo vya ghasia wakati wa...