Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Poleni kwa mahangaiko ya hapa na pale. Kama kichwa tajwa hapo juu, naomba mwenye uelewa wa process nzima ya chipping anipe elimu kidogo, pia gharama zake kwa kuta za nyumba yenye Sqm 72, maana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Naomba kufahamu zaidi kuhusu kuezeka kwa vigae, kutoka kwa wenye uzoefu. Swali la nyongeza: Vile vigae vya Nabaki Afrika ambavyo ni vya bati/stainless steel ila vimepigwa...
1 Reactions
7 Replies
995 Views
Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imewahakikishia wananchi wa Tanga kusudio lake la kuuboresha uwanja wa ndege wa mji huo hususani katika jengo la...
1 Reactions
3 Replies
599 Views
Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha. Mtaro uko kulia...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukihitaji salamu rudi kijijini kwenu, kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Wakuu nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kutoka kwenu,natambua ya ksmaba humu jukwaani wapo...
1 Reactions
0 Replies
799 Views
Kati ya hizi paa zipo zinakaa muda mrefu zaidi na gharama nafuu kuezeka?
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Makala hii nimeiandaa ili kukuelimisha elimu ya kawaida na muhimu kuhusu mabati,ikiwemo maneno yanayotumika kwenye bati, hivyo sitaingia kwa kina sana kuhusu namna bati linavyoundwa.Lengo ni...
29 Reactions
73 Replies
33K Views
Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement...
66 Reactions
157 Replies
44K Views
Habari wakuu, Kwa nyumba yenye ukubwa wa 13m kwa 12m (urefu na upana), ili iwe na mwonekano mzuri, urefu wa paa (king post height) unatakiwa uweje kwa kipimo cha futi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri...
1 Reactions
0 Replies
749 Views
Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha. Shukrani
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? Ama ni wastage of money na hamna ulazima?
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na...
25 Reactions
78 Replies
65K Views
Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof). *Master room *Sebule/sitting room (kubwa) *Self bedroom *Jiko *Study room N.B: Ni kwaajili ya...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
Mimi siyo mzee wa miaka hiyo, ila wazee watakuja kuthibitisha hili. Kuna mitaa ipo katikati ya mji huku napoishi nyumba zimechoka ila zimepangika na barabara zinaonekana zikiwa zimenyooka. Siku...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Naishi kwenye kijiji kilicho makao makuu ya kata sehemu ambapo kuna mji mdogo unaokua kwa kasi. Kuna mwingiliano wa watu wa wastani lakini wakazi ni watu mchanganyiko. Hapa kuna sherehe za mara...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…