Kumekuwa na maoni kadhaa kuhusu ni bati kutoka kampuni ipi hasa ya kutumia wakati wa kupaua ukizingatia tofauti ya bei kutoka kampuni hizo, huku kukiwa na maneno kuwa kuna baadhi ya kampuni...
Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi.
Karibuni wenye ueledi juu ya hili
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya...
Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo).
Aina hii hutumiwa zaidi na...
Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi?
Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k
Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni...
Kwanza marhaba wadogo zangu, Mimi ndo nimefika stegi ya kuweka vyoo, Sasa nimefika juzi madukani nimekutana na kampuni kama 30 hivi brand mbalimbali, wote wakiuza vyoo, Sasa katika kupagawa...
TUNAENDELEA NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZETU
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, hadi leo hii lina jumla ya Sekondari 28. Kati ya hizo, 26 ni za Kata/Serikali...
MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI
Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la...
MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI
Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS.
Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea...
BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE"
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya...
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoweka kipaumbele katika kuboresha na kuendeleza Sekta ya Uchukuzi. Ameboresha miundombinu na huduma za Uchukuzi zimeboreshwa sana. Nampongeza...
MBUNGE KWAGILWA NHAMANILO Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi Bungeni Jijini Dodoma
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwasababu anakwenda kuweka historia kubwa Tanzania kama Rais...
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na...
Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi.
1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi.
Unabisha....?
Nenda Msasani makangira(Namanga),
Kuna nyumba kadhaa hazina msingi.
2.Unyevu...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika...
Salaam wakuu,
Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165.
Landscape generally ni flat.
Wataalamu na...
SERIKALI KUFUFUA USAFIRI WA RELI YA KATI KIWANGO CHA META GAUGE KUTOKA DODOMA MPAKA SINGIDA
"Je, Serikali ina mpango gani wa kufufua usafiri wa Reli kutoka Dodoma kwenda Singida? - Mhe. Martha...
WIZARA YA UJENZI YATAKIWA KUSIMAMIA MIKAKATI YA USHIRIKI WA WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kusimamia kikamilifu mikakati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.