Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habar wanajukwaa Jamani kwa mwenye kunisaidia natafuta kiwanja cha kujenga makazi wilaya ya kisarawe mkoani pwani hususa kisarawe penyewe si zaidi ya hapo namaanisha si sehem jirani. Natanguliza...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante...
18 Reactions
449 Replies
318K Views
Jamani mwanamke asipofanya ngono zaid ya miezi mitattu maumbile yake huwa yanakuwaje wakuu
6 Reactions
24 Replies
927 Views
Wakuu habari ya siku na mihangaiko ya maisha ya Kila siku. Baada ya salamu niende Moja Kwa Moja kwenye lengo langu. Kama kichwa kinavosema ninahitaji ufafanuzi wa hizi kampuni za labor based...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kuna watu ni wakorofi hasa wakigundua kuwa eneo alilonalo ni dogo hivyo hulazimika kufanya uhuni kama huu. Najua kuna wengi yamewakuta kama haya.
3 Reactions
8 Replies
714 Views
Naomba kusaidiwa Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za...
2 Reactions
5 Replies
608 Views
Nataka kununua nyumba hii, mdau kaniambia Milioni 25. Ina yafuatayo √ Ina ukubwa wa SQM 100, + HATI. √ Ni nyumba ya chini, sio ghorofa √ Ina sakafu ya kawaida, haina tiles. √ Ina vyumba viwili...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Wajumbe wa bodi ya Tanzania Red Cross Society wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Mh David Kihenzile wameonesha kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba 35 katika wilaya ya Hanang, mkoani...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
MALIMA AWATAKA WAKADIRIAJI MAJENZI KUJITANGAZA Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Taasisi ya Wakadiriaji Majenzi Tanzania (TIQS) kutokaa kimya bali ijitangaze Serikalini na katika...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujenzi wa kisasa Kwa gharama ndogo kabisaaa!Nimeamua
6 Reactions
4 Replies
623 Views
Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo. Kuongeza kipato...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana JF. Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Barabara ya kibada-mwasonga inayoendelea na ujenzi mkandarasi hajaweka barabara ya mchepuo (diversion) kitu kinachopelekea watumishi wanaojenga barabara hiyo kuwazuia watumiaji wa barabara...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
GEITA YATIKISA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ● Wananchi wamshukuru Rais , Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza miradi ●Miradi ya maendeleo yatekelezwa kwa asilimia 90 ⚫️ Wilaya...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…