Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na...
Wakuu Habari za muda huo wako unaposoma hii
Ningependa kufahamishwa sheria na utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi ya Tanzania umekaeje kwa sasa ? Kwa mwenye uelewa wa hili, naomba maelezo...
Kaka yangu anayeishi Tabora yuko kwenye ndoa kwa miaka 10 sasa!
Mwaka jana alifanikiwa kuongeza biashara zake!Tatizo linaloisumbua familia ni kuwa kila kipato kilipokuwa kikiongezeka na tabia ya...
Wengi wetu siku hizi tunahifadh pesa ktk mitandao ya simu au ktk mabenki tena muda mwingine unakuta hifadhi hiyo inakuwa ya siri hata familia na marafiki hawajui.
Hili kisheria linakuaje...
Nawasilimu wote!
Wana Jf nimepitia mijadala ,Maoni na uzi mbalimbali zinazohusu Katiba ya URT ya mwaka 1977 humu ndani na nimeguswa kusema kitu.
Nafahamu Katiba husika ina mapungufu mbalimbali...
Kuna dogo lilikuwa na cm ya rafiki yake likapigiwa simuna matapeli wa mtandao kuwa katume pesa kwa wakala mwambie kaka ndo kanituma na hyo wakala tunafamiana, nae akatuma kumuomba dogo hela hana...
Wanasheria naomba kujua Endapo Askari Polisi Atampiga Risasi Raia Asiye na Kosa na Kumuua.
Je, Askari huyo Atachukuliwa Hatua za Kisheria?
Je, Ndugu wa Marehemu?
Wana Fidia yoyote Watalipwa kwa...
Suala langu lipo CMA na mwisho wa mashauri yapo mwishoni mwa mwezi huu. Kwani nilichelewa kufungua madai kwa sababu nilipata ajaili iliyopelekea kuchelewa kufungua madai.
Na katika kufungua madai...
Na Dustan Shekidele, Morogoro
KWELI kuelekea mwisho wa dunia, mengi yataonekana. Mtu unawezaje kumpiga shoka mama yako mzazi, aliyekutunza tumboni mwake kwa miezi tisa, akakunyonyesha, kukusomesha...
Salaam wakuu!
Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.
Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi...
Mimi ni afisa wa serikali wilaya x nililipa pesa mbichi kwa watumishi 3 baada ya kukusanya Mapato ya minada ya mifugo wilaya x jumla y fedha tsh.2,500,000/:
Ninadaiwa kwenye poss machine yangu...
Wakati wa Ukoloni Wazungu waliwinda wanyama na wakisafurisha nyara bila ridhaa yetu. Pichani ni urembo wa vichwa vya wanyama na ngozi, haya yalikua ni mapambo ya kawaida kwa Wazungu matajiri...
Mimi nataka kuuliza leo, Haya matukio ya kuuana kwenye mahusiano hasa fumanizi yamekuwa mengi sana siku hizi. Hivi karibuni tu January 04 ya mwaka huu tulisikia jamaa mmoja Huko Chunya Mbeya...
Habarini Wakuu
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita
Kinachoshangaza kila wakienda...
Habarini za Majukumu Wadau.
Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu.
Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile...
Habari wapendwa,
Naomba kuuliza mtu akikata rufaa kesi inasikilizwa upya au wanatumia maelezo ya hukumu ya mwanzo. Pia naomba kujua mamlaka ya mahakama ya wilaya inao uwezo kuhukumu kifungo cha...
Ndugu zangu nisaidieni TANESCO wameweka nguzo ya umeme tena ni ya TRANSFOMA kwenye katikati ya kiwanja cha nyumba . hivi kuna sheria yeyote itakayonisaidia?
Naombeni msaada jamani.
Sent using...
wanabodi
Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.