Sheria inasemaje kwa tukio la polisi kumpiga risasi raia bila kosa?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,411
2,000
Wanasheria naomba kujua Endapo Askari Polisi Atampiga Risasi Raia Asiye na Kosa na Kumuua.

Je, Askari huyo Atachukuliwa Hatua za Kisheria?

Je, Ndugu wa Marehemu?

Wana Fidia yoyote Watalipwa kwa kupoteza Ndugu yao Aliyeuawa bila Kosa?

20210712_084342.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom