Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wajuzi wa sheris naomba Msaada wenu wa kisheria. Je, ni hatua gani zinapaswa Kuchukuliwa dhido ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa inapokataa kutekeleza hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa katika...
1 Reactions
2 Replies
535 Views
Habari wana JF. Huu mwaka nimedhamiria angalau kwa kila wiki niwe naweka uzi mmoja unaohusu swala la kisheria. Nimeamua hivyo baada ya kuona changamoto nyingi sana za kisheria zinazoikumba jamii...
4 Reactions
4 Replies
769 Views
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment). Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kazi kidogo kesho Tar. 14.1.2023 Jumamosi nahitaji mwanasheria aniandalie mkataba konki wa Mauziano ya Shamba/ Kiwanja Jiji la Arusha. Kama kuna mwana JF mwana sheria basi anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na...
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Habari wakuu humu ndani. Mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo Dodoma kikazi. Nina nyumba yangu mkoani Iringa. Baba alishawahi kuchukulia mkopo katika bank ya NMB. Leo wakati natoka kazini...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Habari za wakati huu wanajamvi,, Ngoja niende kwenye point yangu . . NAOMBA MSAADA WA KISHERIA NA TOFAUTI KATI YA WARRANTY NA GUARANTEE (za manunuzi)
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Husika na somo tajwa, Wakili aliebobea katika sheria za ardhi na mirathi , tuwasiliane Tafadhali
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Kwema humu, Nisiwachoshe nimeishi na mke wangu kwenye ndoa mpaka sasa ni miaka mitano ila kutokana na changamoto za ndoa nilikuwa nahitaji tuachane kwa amani na mke wangu pasi kugombana, kwahiyo...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Ni hivi kuna kiwanja kilikuwa cha bibi mzaa mama,kisha baada ya miaka mingi kupita akaja akamrithisha Mama yangu kabla hata sijazaliwa na baadae tena mama akanipa mimi kile kiwanja,kumbuka hapo...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya...
1 Reactions
4 Replies
620 Views
Habari wana Jf Naomba kusaidiwa kisheria. Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto...
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Chanzo taarifa ya habari UTV/ TBC. 27/12/2022 Nimemsikia Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akizindua matumizi ya akili bandia katika mahakama zetu nchini. Alieleza kuwa Matumizi ya akili...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo). Nina...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi guys, I urgently need help on this case John O Nyaronga V. Captain Ferdinando ponti, Anil Patel and C.T.aI transport Ltd High Court commercial case no 62 of 2009. Any one with information or...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada
0 Reactions
1 Replies
644 Views
JFs, naomba mwongozo juu ya kesi ya kugonga mtu barabarani (sio kwenye zebra). Na kesi inaenda mahakamani huku mgonjwa ameshapona kabisa. Mwongozo tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Rais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Dhana ya mgawanyo wa madaraka inaeleza kuwa utawala wa dola unapaswa kugawanywa katika vyombo vitatu ambavyo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Kila chombo kina majukumu tofauti na chombo kingine...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…