Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya kiserikali about 2 years ago.
Hatujawahi kuishi pamoja ni mwendo wa mikoa tofauti.
Kuna misunderstanding za hapa na pale tunasuluhishana maisha yanasonga...
Wanabodi,
Story ya "incest" iliyodumu kwa miaka 10 kati ya mama na mwanae huko Ruvuma, iliyoonyeshwa leo kwenye taarifa ya habari ya Star TV, its nothing but total "insanity"
Kwa...
Ikitokea mtu kakamatwa kipindi A ambapo Sheria inasema hivi halafu pakatokea mabadiliko ya Sheria ambapo labda kwa Sheria za kipindi A angekutwa na hatia na kuhukumiwa lakini hukumu ilichelewa na...
Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo...
UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameizundua rasmi kampeni ya msaada wa kisheria inayoitwa Mama Samia Legal Aid Campaign kwa mkoa wa Dodoma Alhamisi...
Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya...
Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma...
Persecution: Hostility and ill-treatment, especially on the basis of ethnicity, religion, or sexual orientation or political beliefs.
My motto always ni to each his / her Own - Sitaki kujua wala...
Kwasasa Mahakama zinatumia mbinu mbalimbali KUPOKA HAKI za Wananchi Jambo ambalo kama halitatafutiwa DAWA basi tukubali BAADHI ya Mahakimu wasio waaminifu kuendelea KUPOKA HAKI Kwa manufaa Yao...
1: QUALIFICATIONS ZA KUWA MKURUGENZI WA KAMPUNI (DIRECTOR):
Sifa (qualifications) za kuwa director wa kampuni zinapatikana kwenye Sheria ya Makampuni ya Tanzania (the Companies Act), ya mwaka...
Habazi za mchana waungwana wa JF? Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani.
Waungwana nimependa kuleta huu uzi mzuri kwenu nyie kwa lengo la kuwasaidia vijana wenzangu kuhusu suala la...
Nimekuwa natafakari sana, na nimekuwa nasoma maandiko mbalimbali kuhusu kesi ya Babu Seya, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa.
Swali langu ni kwa hawa mashahidi waliojenga hoja kwa upande wa...
Waheshimiwa,
Kaka yangu amehustle akiwa single,
Akanunua kiwanja,
Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation.
Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma.
Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye...
Kuna kesi nyingi zinazohusu hii mada.
Tuanze na kesi ya PHILIPO JOSEPH LUKONDE Vs FARAJI ALLY SAIDI, LAND REFERENCE NO. 01 OF 2020.
Uchambuzi wa hizi kesi unaletwa kwako nami Zakaria Maseke -...
Habari wakuu.
Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo...
Hamjambo?
Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa...
Ikiwa mtu alikuwa akifanya kazi mahala bila kuandikishwa Mkataba, kisha akasimamishwa kazi.
Je, anaweza kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi ya uamuzi huo?
Naomba kujua ni haki kweli kwa shule kuongeza ada katikati ya mwaka. Maana nina mdogo wangu anasoma Kidato cha Sita, ada imekuja kuongezeka katikati ya muhula wa pili kufikia kidato cha sita