Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,435
- 113,444
Wanabodi,
Story ya "incest" iliyodumu kwa miaka 10 kati ya mama na mwanae huko Ruvuma, iliyoonyeshwa leo kwenye taarifa ya habari ya Star TV, its nothing but total "insanity"
Kwa nilichoshuhudia Star TV wamemhoji mama na mwanae, just by naked eyes utawagundua tuu kuwa wahusika wote wawili wako insane!, mwandishi yoyote makini angeligundua hilo hivyo hiyo story haikupaswa kuwa "dramatized" kiasi kile!
"Incest" ni kitendo cha kufanya mapenzi kati ya wanandugu wa nasaba ya karibu kama baba na bintiye au mama na mwanae na kwa sheria za Tanzania hilo ni kosa lajinai!
Katika habari hiyo mama mwenye umri wa miaka 70 ambaye amezeeka mpaka hawezi kutembea na mwanaye wa kiume wa kumzaa mwenyewe mwenye umri wa miaka 40, wote wawili wamekiri kuishi kindoa kwa takriban miaka 10 sasa!
Huku wakiongea kwenye TV mbele ya umati mkubwa wa watu bila dalili ya chembe yoyote ya aibu, ni uthibitisho tosha kuwa wote wawili "are insane" na mwandishi alipaswa kuligundua hilo hivyo kutorusha hewani mahojiano hayo!. Mwanaume ameonekana akieleza jinsi alivyomtamani mama yake mzazi kimapenzi, na akamweleza, mama akakubali, wakaanza rasmi mapenzi yao!. Alipoulizwa wameanza lini, alijibu wameanza mwaka 1971 na mpaka leo ni miaka 10!. Jinsi alipokuwa akiongea maneno hayo kwenye umati mkubwa wa watu, bila any remorse kwenye facial expressions zao, ni uthibitisho wa awali wa insanity!
Huyo mama wa miaka 70, amezeeka mno mpaka hawezi kusimama, anatambaa kama mtoto mdogo!. Naye anakiri kuishi kinyumba na mtoto wa kumzaa mwenyewe bila tone la aibu!. Hivi kweli mtu wa miaka 40, mwenye akili timamu, anaweza kufanya mapenzi mama yako mzazi, ambaye ni bibi kikongwe cha miaka 70 ambacho hakiwezi hata kutembea, na kujitokeza mbele ya kadamnasi ya watu na kuelezea mapenzi yao hadharani bila aibu yoyote, na bado utamuona mtu huyu yuko normal?!
Kisheria mtu " insane" hapaswi kushitakiwa kwa kosa lolote maana hajui atendalo ila ni dakitari tuu mwenye mamlaka ya kuthibitisha hiyo " isanity"
Kwa mujibu wa maadili ya uandishi wa habari, ukirekodi tukio lolote la ajabu na kugundua mmoja au watendaji wa tukio hilo wana dalili yoyote ya kuwa ni punguani wa akili, hupaswi kurusha hewani mahojiano yoyote na watu hao!
Kwa wele wenye kumbukumbu ya mahojiano ya yule mtoto aliyekamatwa Muhimbili akikitafuna kichwa cha binadamu, watakumbuka alivyokuwa akijieleza kwa dalili zote za upunguani wa akili!
Kurekodi mahojiano yoyote ya jinai na mtoto yoyote chini ya miaka 14 au kichaa, mwendawazimu au punguani wa akili ni kosa kisheria ya maadili ya uandishi na ni kinyume cha haki za binaadamu!
Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Comon law wa Uingereza ambao unapiga marufuku hata kuwapiga picha watuhumiwa wa kesi yoyote lakini sisi turuhusu kamera hadi mahakamani!, jambo ambalo ni ukiukwaji mkubwa wa haki za washitakiwa na kinyume cha haki za binaadamu!
Wito kwa wamiliki na waandishi wa habari kuzingatia maadili ya kazi zao, katika katiba mpya tutapendekeza sheria ya "pro bono" kwa mawakili kufungua mashitaka bila kulipwa chochote ili kulinda haki za msingi za binaadamu!, Sheria hiyo ingekuwepo vyombo vingi vya habari vingekuwa makini zaidi au vingeishia kufilisiwa!
Nawasilisha.
Pasco.