Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kitambulisho cha kitaifa hutumika kama hati muhimu katika nyanja mbalimbali za maisha ya mtu binafsi, kuwezesha upatikanaji wa huduma na fursa mbalimbali. Hata hivyo, hali ya sasa ya vitambulisho...
2 Reactions
1 Replies
612 Views
Wanasheria Naomba msaada Mimi ni raia nimefanya muamala kutoka kwenye line yangu ya Vodacom kwenda Bank leo ni siku ya 5 huo muamala haujafika kwenye account yangu Nimepiga simu sana bank...
1 Reactions
16 Replies
876 Views
Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara. Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo...
16 Reactions
25 Replies
6K Views
Nina miliki shamba kwenye Kijiji kimoja heka 30 ,Sasa nilihamishwa na kumuacha Kaka yangu aliangalie lakini pia kufanya shughuli za kilimo ,shamba Hilo nalimiliki huu mwaka wa nne ,mzee...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA SEHEMU YA NNE (4) mr.georgefrancis21@gmail.com Ni siku nyingine tena tunakutana katika muendelezo wa mada yetu ambapo hapa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
#SheriaZetu Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika...
2 Reactions
2 Replies
502 Views
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na...
11 Reactions
146 Replies
12K Views
Msaada tutani .... ipi nafasi ya mdhamini ikiwa kesi itafikishwa mahakamani ......... yaani ikiwa mmi nime mdhamini na mlalamikaji akasema kesi iende mahakamani mimi kama mdhamini wa mtuhumiwa...
1 Reactions
11 Replies
967 Views
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa. Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu...
14 Reactions
131 Replies
11K Views
Habari za muda wana JF. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani...
0 Reactions
6 Replies
531 Views
Baada ya kifo cha Membe familia yake inaweza kudai pesa zake alizotakiwa kulipwa na Musiba kwa kumchafua au Musiba ndio anakuwa amepona na kuchomoka katika hayo madai ya kulipa pesa za kuchafua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?
0 Reactions
3 Replies
574 Views
MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Ndugu zangu, habari ya jioni. Ninaomba ushauri wa kisheria. Mimi nakabiliwa na kesi ya (madai) ya kubumba ambayo mdai alishinda kesi na mahakama ikaamuru mdaiwa (mimi) nilipe deni ndani ya siku...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kisheria hii imekaaje. Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili. Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo...
2 Reactions
8 Replies
980 Views
A decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate. Tuzo ya Mahakama ktk kesi za madai (za watu...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…