Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF”...
Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi...
Habari Wakuu,
Natumaini Mnaendelea salama na majukumu ya kila siku.
Hoja yangu ni kwamba,
Inawezekana Non-resident akawa na biashara hapa nchini kisheria,
Na kama ni Kampuni wanaweza...
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.
Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata...
Wakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani...
Habari Wana JF!
Naomba kufahamishwa ikiwa Wakili umemkabidhi fedha na hakukamilisha fedha uliyompa unawezaje kumshitaki na mahali gani unapoweza kumshitaki?
Na je ukimpa kazi mtu mtu...
Ukishindwa kulipa mkopo, kuna njia nyingi za benki ku recover (kujilipa) hela yao. Mojawapo ni kuuza mali uliyoweka kama dhamana (security).
Sasa ikitokea benki wameamua kuuza mali yako ili...
Baada ya kuoana na kuzaa watoto 4 na kuishi kwenye ndoa pamoja kwa miaka 15 na kuchuma mali zetu pamoja maana wote ni watumishi na kuandika majina yetu mawili kama wamiliki.
Mume anakuja kusema...
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.
Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura...
Wadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza...
Wadau nawasalimu.Mimi sina Ufahamu MKUBWA wa Masuala ya Sheria .Ninaomba kufahamishwa juu ya Suala mzima la UTEKELEZAJI wa HUKUMU zinazotolewa na MAHAKAMA zote.
Nimekuwa nafuatilia baadhi ya KESI...
Naombeni ushauri, kuna mfanyakazi alikuwa mtumishi wa serikali aliazimwa kutoka serikalini na kufanya kazi kwenye Chuo fulani cha Private alikuwa Mwalimu na alikuwa Mkuu wa Chuo.
Baadae uchumi...
Salamu wana jamvi!
Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana...
Leo Jaji Mkuu ameapisha mawakili wapya. muda wa Jaji Mkuu kushika mamlaka hayo umeisha June 2023. Kwa mujibu wa sheria, mawakili huapishwa na Jaji Mkuu.
Mawakili walioapishwa leo wameapishwa na...