MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza Uamuzi wa Baraza la Madiwani juu ya Mgogoro huo Uamuzi ambao ni KINYUME na HUKUMU ya MAHAKAMA KUU.
Je, Sheria inasemaje juu ya Tukio kama hilo?Je Nini kinaweza kufanyika?
Je, Baraza la Madiwani lina Uwezo wa Kubatilisha HUKUMU ya MAHAKAMA KUU?