Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Thursday, May 31, 2012 Imeandikwa na Sifa Lubasi, Dodoma WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St John mjini Dodoma, leo wamegoma kuingia madarasani hadi wawasilishe malalamiko yao kwa Kamanda wa...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu! Tumezaliwa wanne kwa mama mmoja,baba tofauti.Wavulana wawili,wasichana wawili.Mama amefariki,ameacha pesa na nyumba pamoja na kiwanja.Pesa imegawanywa kwa kufuata sheria za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenu wana JF eti mtu anakudai let say pesa. Na wewe ukakubali unadiwa na akaenda polisi nako ukakiri. Utaratibu unakuwaje? Na je mahakamani utaratibu wa kesi kama hii ukoje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Bodi salamuni. Naomba kuwasilisha kuwa, Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, yuko katika wakati mgumu kutokana na yeye kushiriki kikao cha usuluhishi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Nimdaije mdeni wangu kwa kufuata sheria kwa sababu ninachomdai atukupeana kimaandishi wala kisheria naombeni msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taasisi kupitia blog yake www.rafikielimu.blogspot.com ilitangaza nafasi za masomo kwa kozi ya NGO MANAGEMENT, watu wamechukua fomu na kulipa ada ya maombi 12000 na ada ya mafunzo 135000 kupitia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni raia wa Tanzania kwa Kuzaliwa, nimekuwa na safari ndefu ya kutafuta maisha, bado sijafanikiwa sana lakini kidogo hivyohivyo. Nimefungua shamba la mifugo ambalo kidogo lipo porini. Kidogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF. Ndugu yangu anaomba msaada wa kisheria ili newHabari na PPF wamlipe mafao yake. Pliz tusaidieni how 2 go about ili zilipwe haraka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WANAJF, The Citzen TV ya Kenya katika taarifa yake ya habari ya saa 3 usiku imeonyesha kwamba kuna shehena kubwa sana ya PEMBE za NDOVU imekamatwa katika bandari ya Mombasa ikiwa inasafirishwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi sana tunamshuhudia polisi Suleiman Kova,mbele ya vyombo vya habari hasa televisheni, akijinasibu kuwa,jeshi la polisi limewatia mbaroni, majambazi sugu tena wakiwa na silaha nzito za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mpangaji ambaye mwenye nyumba wangu hakunipa mkataba wowote wakati naingia kwenye nyumba yake, mwanzoni mwa mwezi huu wa kwanza aliniletea notisi inayoeleza kuwa mwisho wa mwezi huu...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Leo nimejikuta mikononi mwa polisi, miongoni mwa maswali yaliyonikela ni kuulizwa dini yangu. Kwa mazingira ya sasa swali hili inabidi lisiulizwe kwani udini unashika kazi na dini inaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya! napenda kufahamu kisheria kama kuna mtuhumiwa unamtafuta na una RB je kuna muda kisheria ambao umewekwa na ukipita hata ukimpata uwezi kumfungulia mashitaka? Asanten
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mi ni mfanyakazi wa kampuni GFI, kampuni inafanya kazi ya kuweka dawa kwenye mafuta ya diesel na petrol ili yasichakachuliwe, ipo chini ya EWURA, cha ajabu hawa wazungu huwa kila baada ya muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa nilizozipata punde yule dogo wa mbagala aliyekojolea quran na kuzua tafrani ya kufa mtu pande za mbagala ameachiwa huru. Imeonekana hana hatia. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Siyo tuu kwamba Mahakama ya Rufaa imemrudisha Mh. Lema bungeni. Bali pia kisheria, kuna kitu ambacho Mahakama ya Rufaa imekifanyia uamuzi. Nacho ni kwamba kuanzia leo hakuna tena wagombea...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
ICT hubs are sprawiing all over EA to assist developers nurture and bring to market new apps. Wondering does copyright offer real protection against infringement- i am told copyright protects the...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Wakuu salaam, Polisi waliopelekwa Iringa mwaka jana kutoka mikoa ya jirani ikiwa ni pamoja na Dodoma, ili kuidhibiti CHADEMA wanadai kutolipwa posho yao! Waliahidiwa kulipwa 45,000 kila mmoja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi kama mpenda haki na asiye penda kuona wanyonge wana nyanyaswa nimeamua kuwaletea kisa hichi hapa jf wadau na wapenda haki kwa kila mtu waweze kusoma na kuchukua hatua kwa yeyeto ambaye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom