Law School of TZ..300 kuwa mawakili

L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Hatimaye kilio cha muda mrefu cha wanachuo wa the Law school of TZ kujua hatima yao kimefikia ukingoni. Zaidi ya mawakili 300 wanatarajia kuapishwa hivi karibuni...

Nawatikia kila la heri na mafanikio ktk uadivoketi wenu.
 
Hiphop

Hiphop

Member
Joined
Jul 17, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
13
Hiphop

Hiphop

Member
Joined Jul 17, 2010
51 0 13
Hatimaye kilio cha muda mrefu cha wanachuo wa the Law school of TZ kujua hatima yao kimefikia ukingoni. Zaidi ya mawakili 300 wanatarajia kuapishwa hivi karibuni...

Nawatikia kila la heri na mafanikio ktk uadivoketi wenu.
Ni kweli kuwa tarehe 17 kuna wano apishwa kuwa Advocates ila ukweli kwamba wengi wa wanaoapishwa hawajatokea hiyo law school bali ni kupitia Bar exam. Toka shulu hiyo ya sheria imeanzishwa matokeo ya madarasa manne yameshatoka ila idadi ya waliofaulu na kuapishwa haijafika hata 150 ingawa kila darasa lilikuwa na wastani wa wanafunzi 250.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180

Hawa jamaa wanakamata sana, sio mchezo!
 
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Am happy kuwa fani itapata ushindani
 
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Nasikia waajiriwa wa Serikali waliomaliza Law School wamekataliwa kuapishwa!
Ni kweli kabisa, serikali inasema watakuwa wanafaidi pande zote mbili. Either unakuwa muajiriwa serikalini au wakili binafsi. Na sio vyote..

Jamaa wamekuwa disappointed sana.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
Ni kweli kabisa, serikali inasema watakuwa wanafaidi pande zote mbili. Either unakuwa muajiriwa serikalini au wakili binafsi. Na sio vyote..

Jamaa wamekuwa disappointed sana.
Kwa hiyo wafanyabiashara hawajaapishwa? Au wao hawafaidi sehemu mbili? Pia, kwani suala ni kufaidi au kuhudumia jamii? Mbona Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na ma-lectures almost wote ni mawakili? Akina Dr Mwakyembe ni mawakili huku pia ni mawaziri! There must be something wrong somewhere!
 
N

Nightangale

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
265
Likes
0
Points
33
N

Nightangale

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
265 0 33
ukiwa wakili wa serikali, afisa usuluhishi au mwamuzi, hakimu huwezi kuapishwa kuwa wakili wa kujitegemea. (sijui ni conflict of interest au nini)

Mh. Buchanan nilidhani wewe ungeweza kutoa mwanga zaidi kwenye hili lakini naona na wewe unazama kwenye huu mtumbwi.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
ukiwa wakili wa serikali, afisa usuluhishi au mwamuzi, hakimu huwezi kuapishwa kuwa wakili wa kujitegemea. (sijui ni conflict of interest au nini)

Mh. Buchanan nilidhani wewe ungeweza kutoa mwanga zaidi kwenye hili lakini naona na wewe unazama kwenye huu mtumbwi.
Kweli nimezama ndugu, maana akina CJ wanatumia logic badala ya Sheria ambayo haiwakatazi watumishi wa Serikali kuwa Mawakili wa Kujitegemea! Kama ni conflict of interest mbona ma-lectures (Mgongo Fimbo, Shivji by then, Dr Lamwai, Dr Sengodo Mvungi, just to mention few) ni Mawakili wa Kujitegemea? Hapa hakuna double standard kweli?
 
N

Nightangale

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Messages
265
Likes
0
Points
33
N

Nightangale

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2010
265 0 33
Kweli nimezama ndugu, maana akina CJ wanatumia logic badala ya Sheria ambayo haiwakatazi watumishi wa Serikali kuwa Mawakili wa Kujitegemea! Kama ni conflict of interest mbona ma-lectures (Mgongo Fimbo, Shivji by then, Dr Lamwai, Dr Sengodo Mvungi, just to mention few) ni Mawakili wa Kujitegemea? Hapa hakuna double standard kweli?
Kwa kipimo cha macho naona bora hao, hebu fikiria hakimu angekuwa wakili wa kujitegemea, au wale maafisa wa CMA au state attorneys. Upande mmoja u r for one party na mwingine dor the other.

Ni fikira zangu tu
 
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Kwa hiyo wafanyabiashara hawajaapishwa? Au wao hawafaidi sehemu mbili? Pia, kwani suala ni kufaidi au kuhudumia jamii? Mbona Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na ma-lectures almost wote ni mawakili? Akina Dr Mwakyembe ni mawakili huku pia ni mawaziri! There must be something wrong somewhere!
Inawezekana pia ni strategy ya kutaka kudhibiti utitiri wa mawakili binafsi, wametafuta namna ya kupunguza idadi. Manake hao mawakili wapya 350 wote wana muhuri binafsi. Sioni sababu ya kuzuia watumishi wa umma kutokuwa mawakili binafsi. Mbona madokta wengi wa serikalini wana dispensari zao binafsi na hawajazuiliwa??? huu ni uonevu tu.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
Inawezekana pia ni strategy ya kutaka kudhibiti utitiri wa mawakili binafsi, wametafuta namna ya kupunguza idadi. Manake hao mawakili wapya 350 wote wana muhuri binafsi. Sioni sababu ya kuzuia watumishi wa umma kutokuwa mawakili binafsi. Mbona madokta wengi wa serikalini wana dispensari zao binafsi na hawajazuiliwa??? huu ni uonevu tu.
Sasa kama ni kudhibiti idadi ya mawakili wa kujitegemea mbona CJ analalamika kuwa ratio ya mawakili hao kwa population ni 1:36,000 kwa Tanzania ambayo ni ndogo sana ukilinganisha Kenya 1:3,500 na Uganda 1:6,000? Hili suala lisiangaliwe kibinafsi zaidi, tuangalie maslahi ya nchi zaidi!
 
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Sasa kama ni kudhibiti idadi ya mawakili wa kujitegemea mbona CJ analalamika kuwa ratio ya mawakili hao kwa population ni 1:36,000 kwa Tanzania ambayo ni ndogo sana ukilinganisha Kenya 1:3,500 na Uganda 1:6,000? Hili suala lisiangaliwe kibinafsi zaidi, tuangalie maslahi ya nchi zaidi!
Tanzania tupo tofauti saana na wenzetu EA. Hata ukiangalia uwiano kati ya Dktari na mgonjwa ni 1:50,000 wakati kawaida ni 1:100, tumeshika mkia duniani kama sikosei.
Tatizo ni viongozi wanaoamua. Sidhani kama ishu ni kusaidia wananchi kisheria, inawezekana kuna wakubwa flani wanajaribu kudhibiti soko la uwakili. Am telling u hata hao walioapishwa juzi wamesota saana. Kulikuwa na mabishano sana, kuna viongizi serikalini waligoma kuwaapisha kua mawakili. Nina uhakika na hili.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
Tanzania tupo tofauti saana na wenzetu EA. Hata ukiangalia uwiano kati ya Dktari na mgonjwa ni 1:50,000 wakati kawaida ni 1:100, tumeshika mkia duniani kama sikosei.
Tatizo ni viongozi wanaoamua. Sidhani kama ishu ni kusaidia wananchi kisheria, inawezekana kuna wakubwa flani wanajaribu kudhibiti soko la uwakili. Am telling u hata hao walioapishwa juzi wamesota saana. Kulikuwa na mabishano sana, kuna viongizi serikalini waligoma kuwaapisha kua mawakili. Nina uhakika na hili.
Huu muhimili nafikiri haujapata right person wa ku-break the wall! JK mwenyewe aliahidi mwaka 5005 kuanzisha system ya paralegals wawe wanawakilisha washtakiwa mahakama za mwanzo ambazo Mawakili hawaruhusiwi ku-appear! Inawezekana wazo hili lilikutana na watu wasiopenda mabadiliko, akina CJ!
 
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,533
Likes
21
Points
0
L

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,533 21 0
Huu muhimili nafikiri haujapata right person wa ku-break the wall! JK mwenyewe aliahidi mwaka 5005 kuanzisha system ya paralegals wawe wanawakilisha washtakiwa mahakama za mwanzo ambazo Mawakili hawaruhusiwi ku-appear! Inawezekana wazo hili lilikutana na watu wasiopenda mabadiliko, akina CJ!

Pinda ameahidi kuleta mabadiliko saana kwenye mahakama zetu, tusubiri tuone. Judiciary ya TZ inaendeshwa kisanii sana na haina nguvu yoyote ile.
 
igwana123

igwana123

Senior Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
175
Likes
1
Points
35
igwana123

igwana123

Senior Member
Joined Nov 8, 2010
175 1 35
Ni kweli kuwa tarehe 17 kuna wano apishwa kuwa Advocates ila ukweli kwamba wengi wa wanaoapishwa hawajatokea hiyo law school bali ni kupitia Bar exam. Toka shulu hiyo ya sheria imeanzishwa matokeo ya madarasa manne yameshatoka ila idadi ya waliofaulu na kuapishwa haijafika hata 150 ingawa kila darasa lilikuwa na wastani wa wanafunzi 250.
Please be professional, a lot of malpractice law suites against irresponsible doctors are waiting for you to initiate. Then you move to prosecute public funds abusers.
All the best.
 
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Messages
2,713
Likes
493
Points
180
C

ChiefmTz

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2008
2,713 493 180
Ni kweli kabisa, serikali inasema watakuwa wanafaidi pande zote mbili. Either unakuwa muajiriwa serikalini au wakili binafsi. Na sio vyote.. Jamaa wamekuwa disappointed sana.
Wamezingatia conflict of interest.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
Wamezingatia conflict of interest.
Jamani hii conflict of interest ni kwa baadhi ya watu tu? Mbona akina Marando, Shitambala, Dr Sengodo Mvungi (tena huyu pia ni lecturer) wanapractice huku wako kwenye mambo ya siasa? Tena hii ni conflict kubwa kuliko conflict of interest nyingine yoyote! Akina Prof Mgongo Fimbo, Prof Issa G. Shivji, nk ni ma-lecturer huku ni Mawakili wa Kujitegemea!

Kwa ujumla hili suala liwe addressed vizuri wandugu sio kutoa hoja ya conflict of interest isiyojitosheleza kwa ku-suit interest ya kikundi fulani cha watu kwa maslahi binafsi na sio ya umma! Wakati wa kuli-address suala hili nafikiri ni sasa ambapo kuna mikoa ambayo haina Advocate hata mmoja, wamejazana tu katika Miji Mikubwa huku idadi kubwa ya matukio ya ukiukwaji wa HAKI za watu yakiwa ni vijijini!

Baada ya muda mfupi unamsikia CJ akilalamika kwamba ratio ya Mawakili wa Kujitegemea vs Idadi ya watu Tanzania ni ndogo! Wewe fikiria mawakili 1660 kwa idadi ya watu zaidi ya 40,000,000! Kama Uwakili wa Kujitegemea kwa Tanzania ni BIASHARA na si HUDUMA si waseme moja kwa moja badala ya kuuma maneno!
 
Quinty

Quinty

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
463
Likes
4
Points
35
Quinty

Quinty

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
463 4 35
CJ amefanya kazi nzuri sana na ya kusifiwa. hakuna CJ yeyote Tanzania hii aliyefikia rekodi yake. Kwa mwaka huu pekee ameapisha mawakili wasiopungua 500 kwa historia ya Tanzania haijawahi tokea. Msimlaumu Mzee Wa watu kwa kazi nzuri aliofanya. Lawama ni kwa serikali walioleta pingamizi dhidi ya wafanyakazi wake tena asubuhi siku waliokuwa wanatarajiwa kuapa. Kisheria kukiwa na pingamizi hata dogo kiasi gani lazima lisikilizwe ndo mambo yaendelee.
 
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined
May 19, 2009
Messages
13,211
Likes
385
Points
180
Buchanan

Buchanan

JF Diamond Member
Joined May 19, 2009
13,211 385 180
CJ amefanya kazi nzuri sana na ya kusifiwa. hakuna CJ yeyote Tanzania hii aliyefikia rekodi yake. Kwa mwaka huu pekee ameapisha mawakili wasiopungua 500 kwa historia ya Tanzania haijawahi tokea. Msimlaumu Mzee Wa watu kwa kazi nzuri aliofanya. Lawama ni kwa serikali walioleta pingamizi dhidi ya wafanyakazi wake tena asubuhi siku waliokuwa wanatarajiwa kuapa. Kisheria kukiwa na pingamizi hata dogo kiasi gani lazima lisikilizwe ndo mambo yaendelee.
Kama ni hivyo CJ atoe msimamo unaoeleweka maana kuna watu wanafanya kazi Serikalini huku ni Mawakili wa Kujitegemea ili waachie ngazi ya Uwakili huo au kazi Serikalini!
 
Forum statistics

Threads 1,237,779
Members 475,675
Posts 29,300,765