Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.PICHA|MAKTABA KWA UFUPI Ni kesi ya Abdulrahman Kinana kumtaka Peter Msigwa kufuta kauli yake. Dar es Salaam. Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salaam sana wakuu. hivi majuzi tu nilishuhudia kwenywe ITV nadhani ni maeneo ya IRINGA walikamata lori la mafuta likiwa ndani limesheheni vipodozi toka kongo na kesho yake wakaviteketeza. _sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakubwa. Samahanini, ninaomba kujuzwa juu ya utaratibu unaopaswa kufuatwa pale mtu anapohitaji kubadilisha rangi ya gari zima. Je, kuna gharama zozote kisheria katika mchakato huo-mfano...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za humu ndani wakuu! Vp selection law school intake za january na july bado hazijatoka?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama RAIA halali wa nchi hii name wengineo tutakubaliana kuwa jeshi la polisi lipo kwa ajili ya kulinda RAIA na mali zao..sasa hilo jukumu jana nimeona 'likigeuzwa kichwa chini miguu juu'...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dr. Ott ni mmarekani aliyekuwa anafanya kazi ya udaktari huko Kenya. Muda wote alipokuwa anafanya kazi hiyo aliwanajisi watoto wengi kwa kuwadanganya na zawadi pamoja na wengine kuwalipia karo za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wakuu Nina kesi ya madai ya talaka. Mimi ndiyo mdai ba kesi imefikia hukumu. Ilipangwa hukumu iwe disemba, mdaiwa akaleta udhuru na ikapangwa jana alhamisi ambapo mdaiwa akaleta tena...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHETI CHANGU CHA FORM FOUR HEAD MASTER WANGU KAKIUZA! Nimeshauriwa NIENDE NIKAMCHULIE RB! Sasa KABLA YA KWENDA POLISI NI VYEMA MNISAIDIE MAANA YA RB? NAWAOMBENI SANA WADAU MSAADA WENU!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtaniwia radhi maana mimi sio muelezaji mzuri Inshort ni hivii kama wiki moja iliyopita mdogo Wangu alikua anahitaji chumba cha hostel, so akaja kwangu na kunieleza kua amepata na hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf Kwa hali halisi inayoendelea ktk Taifa letu hatuelekei kuwa na Rais wa mahakama? Japo mimi sio mwanasheria lkn naamini mahakama zina mipaka yake. Chombo pekee ninachoamini kinaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza kwa nini haki za binadamu za ki-Magharibi hazikubali ndoa za mke zaidi ya mmoja? Nchi kadhaa za Ulaya zimeharamisha ndoa za mke zaidi ya mmoja, japo ziko tayari kuruhusu...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Ukishajua kuwa chama hakikutaki hata kidogo kwa kukuchoka kwa kukiuka matakwa ya chama halafu unang'ang'ania hadi mahakamani, kuna raha gani ya kuwa mwanachama kwa amri ya mahakama? Hii inatokana...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Aliyekuwa Mkrugenzi wa Utawala wa BOT,Amatus Liyumba, amedai kuwa kesi inayomkabili ya kukutwa na simu gerezani ni ya kupikwa na kubambikiwa. Akijitetea mbele ya Hakimu Mkazi Augusta Mmbando wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilishitakiana na mwajiri CMA nikamshinda na akaamriwa kunilipa kiasi fulani cha pesa. Tuliandikiana mahakamani na yeye akaweka sahihi maamuzi yale. Sasa muda wa malipo umefika mpaka leo ni...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Pamoja na umri huu, lakini bado sifahamu mahakama za hapa bongo ni lugha gani ndo inatumika hata katika utetezi.... je ni English al maarufu kikristo au ni Kiswahili?......... Ni hayo wanasiasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana-JF, Naomba ufafanuzi au tafsiri wa kisheria kuhusiana na na hukumu iliyotolewa Mahakama Kuu kuhusu kesi ya uanachama wa Zitto Chadema. Mahakama imetoa amri ya pingamizi Kamati kuu ya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Chet CHANGU CHA FORM FOUR HEAD MASTER WANGU KAKIUZA! NIMEAMBIWA NIMCHUKULIE #RB , SASA NAOMBA MNIJURISHE MAANA YA RB KABLA SIJAENDA CHUKUA WAZEE! Msaada WENU UTASAIDIA MAISHA YANGU
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya...
3 Reactions
66 Replies
9K Views
Modes naomba muufute huu uzi umejirudia cc. Invisible
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Maamuzi ya mahakama leo ni fundisho kwa watu wanaoshabikia bila kufikiri, ni fundisho kwa watu kama kina yericko nyerere kwamba ni busara kufikiri na sio kukurupuka tu. Si nia yangu hata chembe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom