RUSHWA: Laini za uwakala wa TiGO-PESA na M-PESA zauzwa na wafanyakazi kwa dau refu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RUSHWA: Laini za uwakala wa TiGO-PESA na M-PESA zauzwa na wafanyakazi kwa dau refu!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rich Dad, Jul 10, 2012.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  HII nchi inakokwenda sijui ni wapi? PCCB wamelala usingizi mzito. Hawana msaada wowote kusaidia kukomesha katabia ka baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni za simu zenye kuuza laini za uwakala kinyume cha taratibu. Unakuta mtu kakamilisha taratibu zote za usajili, lakini kinachotokea hawa jamaa wana ku-delay makusudi ili uwakatie kitu kidogo. Kwa sasa hawa jamaa wanataka TZS 100,000 hadi TZS 300,000 kwa laini moja.
  Ukijifanya wewe ni mtu wa kufuata taratibu basi jua itakuchukua zaidi ya miezi sita kupata laini. Kila siku utapigwa kalenda kwamba kuna hiki na hiki kinakosekana. Sasa hivi TiGo wanatumia mgogo wa TCRA kwamba ndio wanaobania watu wasipate laini, lakini ukigawa chenji .....fasta ndani ya siku moja au mbili unakuwa umepata line.
  Haya nayasema si kwamba nimehadithiwa, ni kwamba yamenikuta mimi mwenyewe.
  Wadau naombeni tu mnipe taratibu za nani nimuone pale TiGO na Voda ili niwasilishe barua yangu ya malalamiko pamoja na vithibitisho kwa jinsi rushwa inavyokwamisha juhudi za watu kujikwamua na umaskini.
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii nchi inakokwenda sijui ni wapi? PCCB wamelala usingizi mzito. Hawana msaada wowote kusaidia kukomesha katabia ka baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni za simu zenye kuuza laini za uwakala kinyume cha taratibu. Unakuta mtu kakamilisha taratibu zote za usajili, lakini kinachotokea hawa jamaa wana ku-delay makusudi ili uwakatie kitu kidogo. Kwa sasa hawa jamaa wanataka TZS 100,000 hadi TZS 300,000 kwa laini moja.
  Ukijifanya wewe ni mtu wa kufuata taratibu basi jua itakuchukua zaidi ya miezi sita kupata laini. Kila siku utapigwa kalenda kwamba kuna hiki na hiki kinakosekana. Sasa hivi TiGo wanatumia mgongo wa TCRA kwamba ndio wanaobania watu wasipate laini, lakini ukigawa chenji .....fasta ndani ya siku moja au mbili unakuwa umepata line.
  Haya nayasema si kwamba nimehadithiwa, ni kwamba yamenikuta mimi mwenyewe.
  Wadau naombeni tu mnipe taratibu za nani nimuone pale TiGO na Voda ili niwasilishe barua yangu ya malalamiko pamoja na vithibitisho kwa jinsi rushwa inavyokwamisha juhudi za watu kujikwamua na umaskini.
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Sasa unataka hao pccb waote habari hizi? Si wape taarifa uone kama watakataa kuifanyia kazi!!!!!!!!!
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ok- nimeshawapa taarifa!

   
 5. A

  Akida kaka Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mimi ilichukua miezi minne kupata M-PESA nilikwenda tigo wakaniambia huduma imesitishwa hadi August sijui ni kweli hili au ndio wanataka rushwa
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  hapo ndo umetenda haki, sio kuwashutum. Angalia watakavyofanyia kazi japokuwa usha haribu kazi yao, kwani tayari wahusika watakuwa makini, ikumbukwe nao wanapita jf
   
 7. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wape TiGO laki moja uone kama hupati laini ndani ya siku mbili!

   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,278
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  kazi ipo
   
 9. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani mbona mnanikatisha tamaa maana jana ndio nimekamilisha Leseni ya Biashara na nimemwomba kijana wangu achukuwe formu zakuomba hizo line sasa kama itanichukuwa miezi sita nitafanyaje jamani?
  Kuna mtu alijitokeza kwamba anasadiai kupata MPESA hapa hapa Jamii forums lakini naona kama haeleweki ?
  JAMANI LINE YENYEWE NI GHALI SANA KAMA MTANDAO WA TIGO NASIKIA NI MILLION NA VODA NI LAKI 4 SASA UTAPATA WAPI TENA ZA KUWAPA JAMANI WATANZANIA TUWE NA HURUMA KIDOGO
  MAISHA NI MAGUMU
   
 10. p

  popular Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  We wape uendelee na mambo yako...!!!
  System imeshaharibika, kama wezi wakubwa hawashikwi we unataka wadogo wafanyeje>....>??
  Kila mtu anatikwa atengeneza system ya kula alipo, kwani si hata pccb wana sehemu zao za kula??
  INGAWA KOSA NI KOSA TU...,Ila system ya kimaisha imeshahalibika,so kuombwa kutoa iyo pesa kwaajili ya Line za PESA so issue,kila sehemu kumehalibika.....!!
   
 11. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ningependa sana mtu kutoka vodacom aje ajibu hii mambo hapa mana mimi nilikaa miezi 4 bila kupewa till namba ilihali nilishamaliza taratibu zao. waweke wazi kwamba unatakiwa utoe kitu kidogo na kiwe oficially mambo ya nani anamjua nani ndio upate huduma hayana nafasi kwenye biashara ya ushindani. na biashara haitambui kujuana...
   
 12. chash

  chash JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nadhani umechelewa sana kutoa lalamiko hadi lime expire. Kwa miezi kadhaa sasa vodacom na tigo hawatoi uwakala direct bali kupitia aggregators au wakala wakuu. Hiyo hakuna popote mtu anaye taka uwakala anaingiliana directly na wafanya kazi wa kampuni hizo.
   
 13. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Na tigo wamesitisha kusajili mawakala?
   
 14. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muwe mnawahisha malalamiko ili 'tukiwalaani' wahusika laana 'ziwashike'
   
 15. chash

  chash JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Tigo wamesitisha kutengeneza till mpya. Wanataka kwanza wawapokonye wale ambao till zao hazifanyi kazi vizuri waziswap wawape wengine. Baadaye wataendelea kutengeneza till.
   
 16. L

  Laptani Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tafuta wakala mkuu (Aggregator) upate usajili wako mara moja au ukipenda wasiliana nami 0754485762 nikupe procedures na utaidhinishwa kuwa wakala kwa muda mfupi sana na ni BURE kabisa.
   
 17. M

  Mathematical Senior Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hii ni kweli kabisa huwa ni kazi sana kuapply hizo line ingawa mimi nlipata zote huu ndo msoto wangu...MPESA nilipitia kwa wakala nikiwa na business licence na mil 1 ikachukua wiki 3 hadi 4 kupata line...sikusumbuka sana.... tigo pesa-nilipitia kwa wakala mkuu kama kawa ila waliniambia imesitishwa had miez mi3 mbele nilingoja nikaapply nikakaa miez mi2 tena hadi kpata hyo line kiukweli tigo wasumbufu sana..zantel na airtel ilichukua 30mins kupata hizo line
   
 18. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  yaani acha kabisa juzi nmenunua line ya mpesa standalone laki 5
   
 19. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Usihangaike... peleka takukuru na vielelezo vingine weka hapa..
   
 20. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  uko sahihi kabisa mtoa mada,me pia yamenikuta
   
Loading...