Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu yangu kapata ajali ya gari akiwa yeye peke yake pasi na kusababisha madhara kwa mtu yeyote, lakin traffic wamekuja na kutaka chochote wakidai hii n kesi.
Naomba msaada kwa anaejua kuhusu...
Habari wana jamii?
Nilitofautiana kauri na mtoto wa bosi, baada ya hapo nikaandika barua ya kuomba msamaha. Cha ajabu boss anataka niandike barua ya kuacha kazi!
Naombeni msaada wenu jamani...
Wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda...
Kwanza nawasalimu wote. ndugu zangu naomba ushauri wenu hivi kuna ndugu yangu alikuwa anafanya kazi kama mlinzi mali asili. Ila mwaka jana alishitakiwa kwa kuiba jenereta la ofisi.
Alipopelekwa...
Wadau mwenye data za huyu jamaa! Maana fb shule zake ni Uganda, na sioni kama alikuwa na uzalendo. Je kama ndiyo ma jaji wapo hivi nchi inaelekea wapi?
Mkurugenzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano wa mamlaka hiyo, Dk Joseph Kilongola.
Dar es Salaam,
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu...
Wakuu habari zenu,
Naomba kwa anayejua anifahamishe,
Je, kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa ya uhalifu wa kimtandao?
Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka...
Kama destiny ya Elizabeth Michael na Cyntoia Brown zinafanana.
Hakuna stori mpya kwenye kesi inayomkabili msanii wa maigizo Elizabeth Michael, zaidi ya duwa na sala zetu usiku na mchana katika...
CASE OF SPELUNCEAN EXPLORERS
The case is based on a statute N.C.S.A (N.S.) which states in specific terms in Section 12-A that ‘Whoever Lawfully Takes The Life Of Another Shall Be...
Wanabodi,
Tangia Jumamosi tar.14 hadi Jumanne tar.17 mtandao wa M-PESA haukuwa unapatikana nchi nzima, hivyo basi kuna hasara kubwa iliyopatikana.
Kwa mfano mfanyabiashara anategemea kutimia...
Salamu kwa wote,
Jamani nilikuwa naomba usaidizi wa kimawazo kuhusu hii ishu. Apo juzi kati katika pitapita zangu mtaani nikiwa napita njia flani nikakuta watu wamefunga njia nikawapigia honi...
Habari za asubuhi ndugu wana JF, Nawasalimu katika jina la bwana mungu wetu.
Nimekua nikisikia kuwa kisheria wanandoa wakitalikiana, wanaweza wakagawana mali walizovuna wakiwa pamoja, sijui hii...
Jaji Kiongozi Fakhi Jundu
Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo...
Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia. Mwanasiasa huyu amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali kwa kupitisha na kusambaza vitabu vyenye makosa shuleni. Picha ya...
Matarajio ya wa Tanzania ni kuwa na wanasheria wengi kujaza nafasi zilizopo wazi, serikali kupitia LSRP walikujana wazo zuri la kuanzisha lst.
Lakini kwa hayo yote mtazamo wangu hasa baada ya...