Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari? Tarehe 10 Machi nimeibiwa yuro 2000 na mwanamke, Suzy, alijifanya mchumba wangu huko Unguja baada ya kugombana nami. Nilimshtaki katika kituo cha Ng'ambo, Unguja, ambapo anaishi. Aliitwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni hatua gani za kisheria napaswa kuzifuata ili kumshtaki mtu aliyenitukana kupitia simu ya mkononi kwa sms! please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba watalamu wa sheria watujuze kama ni sahihi kikatiba mahakama kuzuia shughuli za chama kwa chama ambacho ni hai kama CDM??? Je kuzuia jambo au mwanachama asijadiliwe, sio kuzuia shughuli za...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
pale ambapo wanandoa wamegombana hadi kupelekea wao kuachana yule mtoto au watoto wale kisheria watatakiwa kuishi na nani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The family of a police officer who was killed 10 years ago has moved to court to have his killers prosecuted. The family of a police officer who was killed 10 years ago has moved to court to...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Habari wana JF Nimefanya kaz na kampuni moja binafsi katka project inayoitwa TSCP (Tanzania Strategic Cities Project), katika kazi hiyo tulikubaliana na mwajiri wetu kwa mdomo pasipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazazi wakitengana na ukawa ugomvi wa umilikaji nyumba baba kaoa mwingine na nyumba ikiwa bado ipo chini ya baba na mama wakwanza na watoto je ni sahihi mahakama kuchukua uamuzi wa kuuza nyumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mlemavu wa ngozi, Zawadi Magimbu (32) wakiwa ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Geita baada ya kuhukumiwa kunyongwa. Kutoka kushoto ni Nasoro Charles, Singu Siantemi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello wadau. Nimefungua firm na nahitaji Lawyer wakusaidiana nae kazi Kama kuna lawyer anatafuta kazi pls tuwasiliane via email hii ndaha2000@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nime lent nyumba/apart last year kwa bahati mbaya huyu landlord hakuwa na pesa ya kukarabati hii nyumba hivyo nilimlipa cash kodi ya mwaka mzima about 4.2m mkataba mpaka mwezi wa sita mwaka huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hivi, Baba mwenye nyumba wetu katupa ya miezi minne na katika hiyo miezi minne mimi nishalipa miezi miwili kabla ya kutupa notes sasa miezi miwili yangu imeisha imebaki miezi miwili bado hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwanza nampongeza Jaji mkuu kwa kupenda haki na kuonyesha uadilifu katika utendaji wake.Naomba kwa upeo huo atusaidie. INAKUWAJE MAJAJI WENGINE HUAHIRISHA KESI KIMCHEZOMCHEZO MNO? JAJI ANAPANGA...
1 Reactions
0 Replies
958 Views
Is government or constitution legitimate to prohibit any pornographic material?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waana jamii forum naomba ufafanuzi wa sheria za mafao ya wafanyakazi wa yaliyokuwa mashirika ya umma - ppf act. Kabla ya mwaka 2001 sheria ya PPF ilikuwa, kama mwanachama wa PPF atakuwa amechangia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
According to Employment and Labour Relation Act of 2004 section number 44; On termination of employment, an employer shall pay an employee; any remuneration for work done before the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, nimetafuta soft copy ya Kanuni za Kudumu kwa Utumishi wa Umma, 2009 (Standing Orders For the Public Service, 2009) bila mafanikio. Kama kuna mtu anayo naomba msaada aiweke hapa pls!
1 Reactions
31 Replies
31K Views
Wakuu, msaada wa kisheria. Ni wapi naweza kumtuma shemeji yangu kwenda kwa notary public kuweza kupata 'affidavit of marriage" kuonesha kuwa yeye na mkewe (wao ni wa jadi) wamekuwa na ndoa ya muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasomi wenzangu: nataka niandike Legal Paper juu ya Mkanganyiko ninaouona kati ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 na Sheria nyinginezo zinazoshughulikia maswala wa wanandoa hapa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
pakua hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa sheria Mimi nimepata frame nataka nifungue biashara ya juices za aina mbalimbali kama ya miwa, ukwaju na matunda. . . Pia baadae kuweka na chips na vyote vinavyoambatana na hivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom