Tetesi: Nahitaji kueleweshwa juu uwepo wa bendera ya Tanganyika

ALEX_ANDER

JF-Expert Member
Jul 8, 2014
476
1,000
Habarini waungwana!?
Natumai mu wazima na mnatambua historia ya nchi yetu tarehe kama ya leo ndio tulipata uhuru kutoka kwa waingereza.
Hivi hii inayosemekana kuwa ni bendera ya Tanganyika huku google ,inatambulika kweli kiserikali? Inatumikaga wapi kuwasilisha Tanzania bara maana sikumbuki kama inatumikaga hata katika sherehe za uhuru na bahati mbaya hata sijafatilia televised match Kilimanjaro star vs Zanzibar heros.
Nieleweshwe jamani.

Wasalam

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom