Tetesi: Fatma Karume "Shangazi" Kumgaragaza Feleshi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
6,092
Points
2,000

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
6,092 2,000
Baada ya TLS kutoa tamko kuhusu Shangazi, na baada ya kuonekana jaji Feleshi alichukua maamuzi ili kumfurahisha "mfalme" ambaye ndiye mshitakiwa,sasa imejulikana wazi kwamba kanuni kuu ya sheria yaani "audi altem patern rule" kwamba SHANGAZI HAKUPEWA NAFASI YA KUIKILIZWA.

episode two inakuja
 

Attachments:

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
6,092
Points
2,000

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
6,092 2,000
Which it means the judge should not have any subject to the case.. What it is called on the Law Words?
nope, it means, A judge should not condemn someone without affording him a chance to defend, its a rule against natural justice.
even myself as a junior judge, i cannot do such a thing
 

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,153
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,153 2,000
mh,huyu feleshi si ndo dpp ?,,,,,,,ooh no nimekumbuka kweli alipanda cheo,dpp ni somebody maganga ,ila itakuwa aibu sana kwa taifa iwapo itaonekana jaji alikurupuka hapa
 

Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,628
Top