Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Unataka kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri ili ugundue nini? Usile kitimoto ambayo haijaiva vizuri, hakikisha imepikwa kwa moto mkali, kama ni ya kuokwa hakikisha imeokwa kwa muda mrefu...
2 Reactions
9 Replies
670 Views
Habari zenu wapenzi Karibuni tena tujifunze jinsi ya kupika tambi za mayai.✍🏻 Ni rahisi sana wala hutumii muda mrefu, niiingi moja kwa moja kwenye mada Owky. Mahitaji. Tambi chumvi maji...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa...
1 Reactions
21 Replies
852 Views
Mahitaji Mayai 2 Unga wa ngano au Bread crumbs Kijiko kimoja cha tangawizi chumvi Mixed spice au Viungo vya Pilau oil simba mbili au cubes Maelezo Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni...
4 Reactions
0 Replies
301 Views
Kwangu mambo yote ni shega tu! Nimeshangaa eti Tanzania hatumo kwenye haka ka listi ka misosi yenye unyama mwingi duniani!. Yawezekana tumefanyiwa tu fitina. Ina maana hawa waliotoa haka ka...
2 Reactions
11 Replies
459 Views
Habari, natumaini nyote mko poa Leo tutajifunza simple biriani waweza pika mahala popote. Moja kwa moja niingie jikoni MAANDALIZI. kitunguu thoumu Tangawizi pilipili manga ya unga binzari...
12 Reactions
230 Replies
4K Views
Angalia hapa mapishi ya chatu mtamu. Ukipakuliwa utakula?
2 Reactions
7 Replies
481 Views
Kuna baadhi ya watu wanapikia nazi kila chakula, yani chakula hawawezi kupika au kula bila kuweka nazi. Unaweza kukua katika mlo mmoja amepika wala wa nazi, nyama ina nazi, maharage ya nazi na...
3 Reactions
41 Replies
1K Views
Natafuta brashi za kuosha machupa ya water dispenser, maana uoshaji wake ni changamoto
0 Reactions
0 Replies
195 Views
I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au...
19 Reactions
105 Replies
3K Views
Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati? Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo...
6 Reactions
23 Replies
931 Views
Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Chakula ni kipengele muhimu cha maisha ya binadamu, ni bidhaa ambayo wakati mwingi huwa ni matokeo ya jitihada, riziki na starehe. Hata hivyo, linapokuja suala la uchaguzi wa mapishi, mapendekezo...
1 Reactions
8 Replies
522 Views
Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
2 Reactions
15 Replies
716 Views
Sehemu ya Kwanza: Kupika Keki kwa Mikono na Zana za Kienyeji Kukusanya Vifaa: Kwa njia hii, tutahitaji bakuli kubwa, kijiko, bakuli la kuchanganyia, na vifaa vingine vya kienyeji kama vile bakuli...
1 Reactions
5 Replies
366 Views
Asante kwa kujiunga nasi leo! Leo, tutajifunza jinsi ya kupika keki kwa njia mbili tofauti: kwa kutumia mikono na zana za kienyeji, na kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa. Kila njia ina sifa...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
13 Reactions
164 Replies
4K Views
Wakuu habarini za weekend niende Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa naomba kujuzwa vipimo vya kutengeneza kashata yaan kuanzia karanga nusu na kuendelea kuanzia sukar na maji kias gan asanten sana na...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa. At...
4 Reactions
10 Replies
557 Views
Kwa mtu anaefaham kitimoto Safi mahali inapopatikana kigamboni Msaada iwe nzuri sio ya kupunja Location
13 Reactions
100 Replies
4K Views
Back
Top Bottom