Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana.
Sijui ni nini hasa huwa...
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ...
Sijui kama mshaligundua hilo
siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali..
Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile...
Salam kwa jina la misosi,
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika...
Natumaini wazima.
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu.
Nazi, karoti...
Chakula ni kipengele muhimu cha maisha ya binadamu, ni bidhaa ambayo wakati mwingi huwa ni matokeo ya jitihada, riziki na starehe. Hata hivyo, linapokuja suala la uchaguzi wa mapishi, mapendekezo...
Kichwa cha habari hapo kimejitosheleza
Linaitwa Dragon fruit au Pitaya au Pitahaya
Kuna kijana alikuwa ananiletea ofisini ila sasa hivi haniletei anadai hakuna
Wakati Shughuli nyingine za Kitaifa na Kimataifa zikiendelea tujitahidi kula vizuri ili tupate Nguvu zaidi ya kusikiliza na kutoa maoni katika baadhi ya mambo.
Lakini pia hata kama una madeni...
Mimi napenda sana kupika kwa njia mbalimbali,isipokuwa kuni na mkaa wa kawaida situmii kabisa,sasa natafuta mkaa mbadala ntaupata wapi.?Kama kuna mdau humu anajua ntaupata wapi na kwa bei gani...
Habari ya mchana watu wangu wa nguvu, nimewamiss yooo😉😘😘😘
Haya twende kwenye uzi wakuu, naombeni kujuzwa sehemu wanapouza hizi mboga mboga kwa maeneo ya Kigamboni.
Thank youuu😘
Habari wakuu,
Nimefanya utafiti nimegundua chips yai za kupika nyumbani ladha yake tofautii na wanazouza kwenye vibanda zinakua tamu sana je wanatia viongo gani kunogesha?
Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
C2 INAWAHUSU
Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni
👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni
Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia.
👉Unapochuma mboga...
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata...
Vyakula visivyo vya wanga vinaweza kukupunguzia maisha kwa miaka minne
Maelezo ya picha,Vyakula vyenye kiwango kidogo cha wanga vina mafuta na protini nyingi
Lishe yenye kiwango kidogo cha wanga...
Karibuni akina kaka na akina dada.
Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake.
Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali?
Sio kwa matumizi ya...
Wadau naomba kufahamu kama kuna anaejua chips zile zinatengenezwaje sio kwa utamu ule.
Nataka kukaangaa mithili ya KFC ili niuze sana uswahilini
Shukran