Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio...
Mimi huwa napenda kupika, kujifunza na kujaribu Mapishi mbalimbali Nyumbani na Familia yangu hufurahia sana ninachokifanya mbali na Shughuli zangu zinazoniingizia Kipato.
kuna siku rafiki yangu...
Natumaini mkopoa
Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe
Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi
MAHITAJI
Naz
Ndiz zilizoiva
Iriki iliyosagwa ama nzima...
Habari zenu wapishi.
Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada.
Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula?
N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake...
Wanaume sio sana, ila kwa utafiti wangu wanawake, Wanafunzi na watoto wadogo wa kike na wa kiume wanapenda chakula hiki kuliko kitu chochote.
Tena cha ajabu hata wakipikiwa nyumbani wanasema za...
Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni.
Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya...
HAtua
Kata cabbage kama inavyokwatwa vipande ndogondogo ya mboga changanya carrot na hoho na chunvi kidogo kisha pasua yai mbili koroga mchanvanyo huo na mayai
Baada ya hapo weka mafuta kwa...
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha
MAHITAJI NILIYOTUMIA
Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui...
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito...
Wana jukwa salaam kwenu.
Imekuwa kawaida kwangu Mimi kula ugali na wali kama Chakula kikuu siku hadi siku. Sasa nimepata wazo la kuviweka kando kwa siku 14 bila kuvigusa
Hivyo naomba mniambie...
Habari wakuu.
Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri...
Habari wapendwa,
Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua.
Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine)
Spelt wheat/stone ground wheat...
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa?
Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati
Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi...
Habari ndugu zangu,
Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?