Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Praying Mantis Hivi anaitwaje kwa Kiswahili?
0 Reactions
41 Replies
62K Views
Wadau wa lugh hii ya kiswahili mlipo sehemu mbali mbali duniani ,njooni mtuambie inchi zipi ukienda kiswahili unaweza kukiuza kama bidhaa yani mfano unaweza pata dili la kukifundisha, nk Karibuni
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Habari wana na binti wa Mungu. Naomba kuuliza aliyempa Mungu jina la jah ni nani? Na je alikuwa na kusudi gani? Au pengine ni mimi nimefikiria jah ni Mungu? Maana naona mitandaoni tu " jah...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Huwa najiuliza kama mtu amesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka la saba na labda akaenda sekondari pia, inawezekanaje anaandika hivi: Neno Hakuna anaandika akuna, Usipite anaandika husipite, Ibada...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
Nauliza dagaa kwa kiingereza wanaitwaje? Kuna mtoto anataka kuniaibisha asubuhi hii, sijui zinaitwaje kwa kizungu, Msaada kwa anayejua..
3 Reactions
92 Replies
38K Views
Salama wakuu. Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni. Huwa sijui...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua tofauti ya MUONGEAJI na MZUNGUMZAJI kwa upana wake na marefu yake.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Naomba kuuliza kunatofauti gani kati ya maneno haya wawili, yaani "wazo" na "lengo".
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Jaman haya maneno nimekuwa nayasikia ila sijui maana zake. Mfawidhi na mwandamizi
1 Reactions
6 Replies
23K Views
Naomba kujuzwa na wajuzi utofauti wa maneno tajwa hapo juu.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Naombeni kujua maana ya neno blue kwa kiswahili sanifu.
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Habari za Muda huu; Kuna maneno mengine ni marefu sana kiasi kwamba hata utamkaji wake ni shida kwa baadhi ya watu Mfano mimi neno limenisumbuaga sana kwa urefu wake ni Australopithecus Andika...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Natafuta pdf ambayo inamaneno ya kiingereza kama hiyo picha, mwenye anayo anirushie hiyo pdf au niiandikaje niweze kudownload.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba tofauti ya kushuka na kuteremka.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofahamu kiswahili vyema, je nini maana ya kinzudi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAUAJI YA AQUILINA 1)Swali tunajiuliza,ni nani kama si yeye ? Kwanza alitueleza tusimjaribu yeye Leo wametekeleza,alioyasema yeye Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua. 2)Risasi alofyatua,alikusudia...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
KWANINI MENIUA" Mama baba acha kulia, akwilini sijafa mejilalia Waloniua wanashangilia,moyo wangu unaumia Bahati mbaya tajisemea,ukweli moyonpia ajua Usifadhahika mama tulia,baba mimi natangulia...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama nilivyouliza hapo juu Je?. Maneno haya ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti Kama kitu kimoja nini umoja wake. Kama vitu viwili nini utofauti wake Naombeni kufahamishwa .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, nisaidieni kubadili sentensi hii katika lugha ya kingereza; Baba mimi ni mtoto wa ngapi katika familia?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JIFUNZE KINGEREZA KWA KISWAHILI Anza masomo nami mwezi huu 2018.wa pili kwa gharama nafuu kabisa, jifunze kingereza kwa kiswahili kupitia WhatsApp pekee tutajifunza kwa video, voice note, picha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…