Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
NISIKILIZE NYERERE. 1.Huku tunadanganyana,ya kwamba tunakuenzi Na mbali wameikana,wajali kiti cha enzi Tasema tena na tena,Hata kama kwa utenzi Nisikilize Nyerere,kwa hili hauenziwi...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
JE!HUENDA MRISHO MPOTO (MJOMBA)ANAUSHANGILIA UTAWALA WA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWA WIMBO WAKE MPYA WA "NIMWAGE RADHI"?. Hivi karibuni Mwanamuziki Mrisho Mpoto(Mjomba)ametoa wimbo wake mpya...
2 Reactions
10 Replies
8K Views
ZIMWI LA DAR! Kwanza naanza kwa dua, Yarabi nisimamie, Moyo nakuinulia, roho wako nivuvie Hekima busara pia, nazo unikirimie Pamwe na Watanzania, yao nchi watetee Zimwi limeteka Dar, limejivika...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Neno la Mungu linasema katika Yoshua 1:5 Hapatakuwa na mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nakutana na sentensi hizi kwenye uandishi wa watu na huwa zinanipa wakati mgumu kujua kama ni sahihi pale mwandishi anapotaka kuelezea wingi wa MPANGO MKAKATI. -MIPANGO MIKAKATI -MIPANGO...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Nombeni msaada wa tafasari ya neno (hostel ) msaada wenu maana Kuna lisiti nalipishwa sielewi wastani nimechoka?
0 Reactions
12 Replies
6K Views
1.Kunavyo vingi vizuri Vizuri vino pendeza Vyang'ara nakuvutia 2.Vipo kwenye jiji zuri Lilojawa na mwangaza Kama utaliingia. 3.Taona mengi mazuri Ambayo yanashangaza Miguu ukiitia. 4.Utapofika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba nipate msaada juu ya hili kuna tofauti yoyote juu ya maneno haya LENGO na DHUMUNI
0 Reactions
8 Replies
7K Views
1)Namanga hadi Holili,tunarejea nyumbani Twarudi na zetu hali,na furaha vifuani Safari yetu ya ghali,ila bado na imani Tutaporudi nyumbani,tutakutana na Melo. 2)Tutapeana mikono,na kukumbuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pamoja na mazonge yake yote bado Jamaa alikikubali kiswahili.
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Cool fact About English Language 1.No word in the English language rhymes with month, orange, silver, or purple. 2. The "sixth sick sheik's sixth sheep's sick" is said to be the toughest tongue...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani,kama kuna mwana jamii anajua tofauti ya maneno haya: FEDHA,HELA na PESA, tusaidiane. Cc Kiranga FaizaFoxy Madame B. =========== Huitwa ‘Fedha’ wakati mwingine huitwa ‘Pesa’ na wengine...
0 Reactions
29 Replies
21K Views
Hamjambo wanajukwaa, jamani naomba mniambie translation ya jina "dead end" kwa lugha ya kiswahili... Majibu[emoji116]
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Shairi langu natunga, kuwapa pole raia, Na nyinyi tunajiunga, sote huku tunalia, Kukumbwa na hili janga, pole kwa zao familia, Poleni wa Tanzania, ajali haina kinga. Ajali haina kinga, poleni wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu,methali hii imekua ikinitatiza kujua maana yake 'Kata pua uunge wajihi' Ahsanteni.
1 Reactions
10 Replies
13K Views
MOYO WA CHUMA. 1.Jina jipya tumepewa,Yanga tunaitwa chura Hatuna tena ngekewa,Simba azidi parura Ila kweli twaonewa,kisa twakosa ngawira Kuishabikia Yanga,uwe na moyo wa nondo. 2.Ama kisa jezi...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Wakati DSTv wakiwa peke yao Ktk dunia ya kidigitali hapa bongo, wakaamua kuleta msamiati unaitwa "DIKODA" ambapo kikazoeleka Kiasi hata BAKITA walipofafanua kuwa kifaa husika sio dikoda, ni...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Mzuqa Nimeshikwa na kichomi hapa mzigoni yani kimenikalisha. Msaada kwa kiingereza kinaitwaje? Nimecheki kwenye google translate eti cinnamon wakati cinammon ni ile aina ya spices. Google...
4 Reactions
78 Replies
19K Views
Nimejaribu kutafsiri kwenye google langunge tool imeleta kiswahili hiki nimecheka sana... When I stepped into the house I saw this very very beautiful girl with a wonderful smile I never stop...
0 Reactions
4 Replies
26K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa utaraibu wa kuomba nje (kuapply) vilevile mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…