mikeondari
New Member
- Apr 2, 2016
- 3
- 2
Hamjambo wanajukwaa, jamani naomba mniambie translation ya jina "dead end" kwa lugha ya kiswahili...
Majibu
Majibu


Hakuna utaalamu hapa ni kuijua hiyo lugha na kupata tafsiri sahihi. Nitajaribu:Ngoja wataalamu waje
WoowHakuna utaalamu hapa ni kuijua hiyo lugha na kupata tafsiri sahihi. Nitajaribu:
kikomo.
Mwisho kifoHamjambo wanajukwaa, jamani naomba mniambie translation ya jina "dead end" kwa lugha ya kiswahili...
Majibu![]()
Hii sahihi. Njia isiyoendelea.Ni "njia/barabara iliyofika mwisho"; au "haitoki" kwa msemo wa kimazungumzo.